Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,584
Wangepelekwa kwingineko hapo machinjioni haponi mtu wote watarudi maitiKama upo jirani njoo tusaidie hapa mloganzila kwanza alafu twende tukajue idadi kule
Wangepelekwa kwingineko hapo machinjioni haponi mtu wote watarudi maitiKama upo jirani njoo tusaidie hapa mloganzila kwanza alafu twende tukajue idadi kule
Akili mbovu hiziAisee poleni sana. Jengeni utamaduni wa kujipa ulinzi kupitia damu ya Ya yesu, kipindi cha uchaguzi hiki, xmass moja kabla ya uchaguzi mkuu huwa zinatolewa kafara sana.
Ni kweli japo wanatafuta riziki zao ni hatari sana. Huwa nikipita maeneo ya Mbagala huwa ninajiuliza sana wale wamama na watu wengine wanaokaa barabarani kabisa kiasi kwamba gari zinajibana na kuwapisha wao na nyomi la watu huwa ni hatari sana.Kila siku wanaambiwa acheni kukaa /kufanya biashara pembezoni mwa barabara.
Pole kwa majeruhi wapone haraka waendelee na majukumu yao
Pale mbagala ni suala la muda siku lianguke container akili itawakaa sawaNi kweli japo wanatafuta riziki zao ni hatari sana. Huwa nikipita maeneo ya Mbagala huwa ninajiuliza sana wale wamama na watu wengine wanaokaa barabarani kabisa kiasi kwamba gari zinajibana na kuwapisha wao na nyomi la watu huwa ni hatari sana.
Tatizo ni mwisho wa mwaka,Soma vizuri, tàtizo siyo mwisho wa mwaka, ni lori lililosimama ghafla.
sawaAkili mbovu hizi
Kafara kafara ndio muda wa kupeleka damu huuAisee poleni sana. Jengeni utamaduni wa kujipa ulinzi kupitia damu ya Ya yesu, kipindi cha uchaguzi hiki, xmass moja kabla ya uchaguzi mkuu huwa zinatolewa kafara sana.
Watu washafanya yao sio poa kabisa kwanini lisisimame jana?Tatizo ni mwisho wa mwaka,
Kwa nini hilo lori lisimame leo lisisimame January au February?
Kabisa, Uchawi wa bongo ni wa wazi wazi, hawana hata aibu, tusipo ukemea siku tutashangaa Mbowe wetu amebadilishwa kuku akiwa jukwaani.Watu washafanya yao sio poa kabisa kwanini lisisimame jana?
Hakuna damu ya Yesu yenye ulinzi kwenye ujinga na uzembe.Aisee poleni sana. Jengeni utamaduni wa kujipa ulinzi kupitia damu ya Ya yesu, kipindi cha uchaguzi hiki, xmass moja kabla ya uchaguzi mkuu huwa zinatolewa kafara sana.
Mwisho wa mwaka upi?Aisee, mwisho wa mwaka huu natoa pole kwa wahanga🥺
Hapo umesemaje? Sijakusikia umesema?Kabisa, Uchawi wa bongo ni wa wazi wazi, hawana hata aibu, tusipo ukemea siku tutashangaa Mbowe wetu amebadilishwa kuku akiwa jukwaani.
Mzee wa mate mboni unasifu na kuabudu mambo ya ajali watu wameumia wamekufa unajuaSafi sana
Yesu yupi mkuu?Aisee poleni sana. Jengeni utamaduni wa kujipa ulinzi kupitia damu ya Ya yesu, kipindi cha uchaguzi hiki, xmass moja kabla ya uchaguzi mkuu huwa zinatolewa kafara sana.