Ajali mbaya Mbezi Luguruni mida hii

Ajali mbaya Mbezi Luguruni mida hii

Pelly

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
265
Reaction score
341
Habari za muda huu,

Kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea Mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
 
Habari za muda huu, kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Kwahyo unataja idadi ya majeruhi kwa habari za kuambiwa? Poleni wote mliofikwa na janga hilo
 
Habari za muda huu, kuna habari mbaya ajali kimetokea Mbezi Luguruni jirani kabisa na ofisi ya mkuu wa wilaya ya ubungo, mida hii school bus limelikwepa gari ya mizigo iliyosimama ghafla KWENYE mataa na kuwagonga wa fanya biashara na bodaboda na bajaj, hivi natokea mloganzila walipoletwa majeruhi kama kumi habari na picha njtawaletea ikifika Luguruni..
Uchaguzi huu ccm watatumaliza
 
Back
Top Bottom