Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 4,903
- 13,287
Ajali mbaya imetokea leo asubuhi baada ya gari ndogo kuhama njia na kutumbukia kwenye mtaro na kisha kuwaka moto na kuteketea maeneo ya kati ya Africana na Mbuyuni(Bagamoyo road).
Ndani ya gari kulikua na mtu mmoja tu, inasemekana dereva alikuwa katika mwendo kasi kisha kwa mbele ikatokea gari nyingine ambayo ilikuwa ikivuka kuenda upande wa pili (Mwenge) hapo ndio dereva wa hili gari katika kufanya juhudi za kukwepa akaingia mtaroni na baada ya muda gari ikalipuka kwa moto na kuteketea yote.
Mungu ampumzishe kwa Amani.
Chanzo: Mimi na Baadhi ya mashuhuda.