Ni hatari!. Yote mipango ya Mungu. Tuwaombee waliofariki Mungu awasamehe dhambi zao, wapumuzike kwa Amani, Amina
7 ppl mkuu wa kaya ya jfKunasemekana kutokea vifo vingi... Hili ni jambo la kusikitisha, idadi ya waliokufa ikipatikana nitakufahamisheni
jamani jamani, hili daladala liligongwa? au lilikuwa limepaki barabarani? ooooh inauma sanaaaaaaaaaaa!
Wapumzike kwa amani,amina!!!Mwanga wa mileleuwaangazie ua raha ya milele ee Bwanal