Barabara zetu ni noma hazifai yaani hizi ajali hazitokaa na kuisha kamwe,
Barabara zinajengwa finyu, zina mashimo ,mabonde kona mbaya zingine zinateleza wakati wa mvua hawaweki viangalisho vya hatari za uterezi,
wanaweka alama za uongo mfano kimbia speed zaidi ya 50 lakini unakutana na bonge la shimo barabarani hiko ndio kilinikuta juzi nikiwa speed 140 ktk maeneo ya kuingia Magu ukiwa umetokea njia ya sirari yaani utadhani hilo ni tego lao hilimradi gari lianguke majambazi yaje kuchukua fedha wagawane na hao wanaoacha mashimo kwenye barabara huku wakiyatizama na wakati ni jukumu lao kuyafukia hayo mashimo.
Tuvumilie tu! kamwe hatutokuwa na amani mpaka kufa kwetu!!! tofauti na Nchi zigine wanakula neema tu!
Mema ya Nchi tutayasikilizia tu kwa jirani zetu!
Rest in peace.