Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Mkuu kuna watu kazi yao ni kuropoka tu ili mradi na yy aandike..no this is not good..
Huyu jamaa ni mchaga wa machame.na alikuwa na mke wake alikuwa anaelekea Lyamungo kuwaona wazazi wake..anamiliki maduka mawili ya spare pale Arusha na hii gari ni ya rafiki yake..yeye anamiliki stalet..
Gari ni ya kwake na alinunua kwa pesa yake.. Wewe kama unadhani kununua gari kama hiyo ni mpaka ustaafu basi pole sana
Hiyo gari ni Land rover lakini Gogo la choo anasema sio lake ni la rafiki yake huku Steph Curry anasema ni gari yake na amenunua kwa pesa yake.
Utata mwingine huu.
Last edited by a moderator: