Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

kwa muonekano wa hilo gari na direction ya huko liliko kuwa linaelekea/kutoka,lazima mmiliki atakuwa ni mmoja ya "mabilioneya wa arusha".mtazamo tu.RIP mmiliki wa range wa rover sport na demu wako:decision:
Kama una uhakika hiyo ni Range Rover Sports....niwekee Account yako ya Bank nikuingizie TZS 15Million haraka sana...
 
Itakuwa ni vizuri ukatoa taaria zilizo sahihi kuliko kuandika kitu ambacho siyo sahihi. Waliopata ajali ni mtu na mke wake wala siyo wapenzi tafadhali badilisha maelezo yako na wote wamepoteza maisha dereva na mke wake na bado ni vijana ambao hawajafikisha miaka 33!!

Mume anaitwa (Emma) Massawe Nkya wa Machame Lyamungo kati alisoma shule ya o level Lyamungo Secondary WILAYA YA HAI KILIMANJARO.

Acha usienge mtu na mkewe ni wapenzi pia!
Cha msingi walikuwa wanafanya nini saa hizo?
Hakika hawajazaa mtoto angalau wangekuwa wanalea mida hiyo.
 
Ajali ni kweli imetokea hyo ya kutoka sijui kwa Shemeji sijui kwa mama hakuhalalishi uzushi wa mleta mada sijawahi ona watu wakingonoka huku wakiendesha hyo ni impossible . huyo mleta mada ka ana bifu na marehemu aseme na wewe unamtetea sijui umekuja kivingine.

Kwahiyo kwa kuwa hujawahi kuona basi maana yake ni kwamba haijawahi kutokea hivyo, na kwamba ingetokea popote usipokuwepo ungeona.
 
Ajali hizi dah!!!

Vijana wadogo kabisa hao, tazama wamepoteza maisha...inasikitisha

Exactly mkuu, na sijui ni kwanini ajali nyingi kama hizo huwa zinawatokea vijana ambao ni wachache kumiliki magari kama hayo kulinganisha na wazee.
 
Mbaya zaidi huyo mdada umri ulikua mdogo bado na huyo kijana. R.I.P hanifa

Huyo dada kwenye picha ya juu mbona anaonekana ni tofauti na hiyo chini?
 

Attachments

  • 1435591617712.jpg
    1435591617712.jpg
    21.9 KB · Views: 341
JamiiForums ni sehemu tunapotegemea kupata taarifa sahihi na kwa weledi kuliko kwenye chanzo chochote cha habari hapa nchini, sasa inapotokea mtu kuripoti tukio na kuongezea habari zake za uongo au za kupikwa inasikitisha sana, inatosha sana kusema ni AJALI IMETOKEA NA WAPENDWA WAMEPOTEZA MAISHA.

Hizo habari za kufanya mapenzi wakati dereva akiendesha gari haiingii AKILINI na ni kuwatukana marehemu na haipendezi.


Turejeshe hadhi ya JamiiForums tuache cooked news zisizoweza kuthibitishwa popote.
 
1.MZURI WA SURA, UMBILE AU TABIA?
2.Wazuri hawatakiwi kufa?
3.Katoto kazuri ndiyo kasikotakiwa kuwa yatima?
Siku nyingine jifunze kuandika sentensi zisizo tata.

Haya basi wewe ndiye mzuri.
 
Ajali hizi dah!!!

Vijana wadogo kabisa hao, tazama wamepoteza maisha...inasikitisha

ni kweli inasikitisha sana...kikubwa ni kuwa makini wakati wa kuendesha gari...lazima utambue thamani ya maisha yako na ya wale wanakutegemea (watoto nk) ..kama si mzoefu wa njia au na pia ni usiku hakuna haja ya kukimbia spid kubwa...lazima uwe makini uwapo unaendesha gari...kosa dogo tu laweza kubadili matokeo..

wapo vijana wengi ambao pengine kwa mda mrefu hajaende ruti ndefu..amezoea ruti fupi fupi...siku akienda ruti ndefu kidogo basi nae anaona ni wakati mwafka wa kuthibitisha kuwa nae ni dreva aliyekwiva pasipo kujua na kuijua njia vizuri....
 
Back
Top Bottom