Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

pole yao wafiwa na marehemu wote wapokelewe kwa sar God!

Ila uchunguzi ufanywe, unawezakuta walishaanza 'kugombania Ka Land Rover', Maanake watu wa Kaskazini bana!

ref: Ufoo..
 
Taarifa ya ajali yao bado ni utata, maana ikisemwa walikuwa wanafanya mapenzi kulitakiwa kuwe na alama za ushahidi namna miili yao ilivyoonekana, labda kwa mfano kuna condom iliyotumika, walikuwa watupu au kuna mtu aliwaona japo naye anaweza akaulizwa wakati anawaona yeye alikuwa wapi?
 
roho imeniuma sana baada ya kuona picha yao
ni maumizi sana kwa ndugu zao hasa wakifikiria namna walivyowatoka gafla

Mbaya zaidi huyo mdada umri ulikua mdogo bado na huyo kijana. R.I.P hanifa
 
Attachments

  • 1435567821506.jpg
    1435567821506.jpg
    22.5 KB · Views: 532
Kwahiyo unataka tuamini kuwa hawakuwa wakifanya mapenzi kwa sababu tu ni mtu na mkewe? kipi kinaweza kuwazuia kufanya hivyo ikiwa walikuwa wenyewe kwenye gari yao?
Unawezaje kuthibitisha kuwa mleta hii habari amesema uongo wakati kwa akili ya kawaida tu inaonesha hakukuwa na mtu mwingine zaidi yao wawili tu?
Unapomwambia abadili habari unataka aandike vipi? unajuaje kama hakuwepo kwenye eneo la tukio hadi useme abadilili habari? au unataka abadili kwa kuwa ni ndugu yako, na kwa habari hiyo itaharibu taswira yenu kama ndugu?

Hebu jaribu kushirikisha ubongo wako.. Umeshawahi hata kuendesha gari mkuu?? Hivi unaweza ukawa kwenye speed kubwa tena usiku alafu ukafanya mizaha kama hiyo kwenye gari?? Maana hilo gari lilivyoharibika ni wazi lilikuwa kwenye speed si chini ya 100.. Kama walikuwa wanafanya hivyo lazima wangekuwa kwenye speed ya kawaida na damage isingekuwa kubwa hivyo..
 
Vijana wadogo pesa ipo, gari ya bei mbaya!!!!!
Ila taarifa ya ajali yao bado ni utata, maana ikisemwa walikuwa wanafanya mapenzi kulitakiwa kuwe na alama za ushahidi namna miili yao ilivyoonekana, labda kwa mfano kuna condom iliyotumika, walikuwa watupu au kuna mtu aliwaona japo naye anaweza akaulizwa wakati anawaona yeye alukuwa wapi?

Usiamini maneno ya mleta mada hao ni wanandoa kabisa wasifanye mambo yao nyumbani wakafanyie kwenye gari huko ni kuchafua marehemu. Nawapata sana hawa waliofariki hawawezi kufanya huo ujinga na sijui kwanini mnakimblia kuwahuku kuwa walikua wana sex
 
pole yao wafiwa na marehemu wote wapokelewe kwa sar God!

Ila uchunguzi ufanywe, unawezakuta walishaanza 'kugombania Ka Land Rover', Maanake watu wa Kaskazini bana!

ref: Ufoo..

Hyo ni ajali ka ajali nyingine haihusiki na ugomvi wa land wala Mali acheni unafiki na kuongozwa na mihemko.
 
pole yao wafiwa na marehemu wote wapokelewe kwa sar God!

Ila uchunguzi ufanywe, unawezakuta walishaanza 'kugombania Ka Land Rover', Maanake watu wa Kaskazini bana!

ref: Ufoo..

Gari ni ya kwake na alinunua kwa pesa yake.. Wewe kama unadhani kununua gari kama hiyo ni mpaka ustaafu basi pole sana
 
Hebu jaribu kushirikisha ubongo wako.. Umeshawahi hata kuendesha gari mkuu?? Hivi unaweza ukawa kwenye speed kubwa tena usiku alafu ukafanya mizaha kama hiyo kwenye gari?? Maana hilo gari lilivyoharibika ni wazi lilikuwa kwenye speed si chini ya 100.. Kama walikuwa wanafanya hivyo lazima wangekuwa kwenye speed ya kawaida na damage isingekuwa kubwa hivyo..

Kila kitu ni maamuzi tu, angetaka hata kuligongesha kwa makusudi hakuna kinachomzuia.
Hayo unayosema ni assumption tu, hivi mtu akiwa amelewa anaweza asifanye hayo ya kuendesha kwa speed kali na romance juu(sisemi walikuwa wamelewa).
 
Usiamini maneno ya mleta mada hao ni wanandoa kabisa wasifanye mambo yao nyumbani wakafanyie kwenye gari huko ni kuchafua marehemu. Nawapata sana hawa waliofariki hawawezi kufanya huo ujinga na sijui kwanini mnakimblia kuwahuku kuwa walikua wana sex

Mkuu kuna watu kazi yao ni kuropoka tu ili mradi na yy aandike..no this is not good..
Huyu jamaa ni mchaga wa machame.na alikuwa na mke wake alikuwa anaelekea Lyamungo kuwaona wazazi wake..anamiliki maduka mawili ya spare pale Arusha na hii gari ni ya rafiki yake..yeye anamiliki stalet..
 
Hayo mengine ni ya mleta mada, siamini kitu kingine zaidi tu ya kuamini kuwa ajali imetokea na kuuwa watu basi.
 
Kila kitu ni maamuzi tu, angetaka hata kuligongesha kwa makusudi hakuna kinachomzuia.
Hayo unayosema ni assumption tu, hivi mtu akiwa amelewa anaweza asifanye hayo ya kuendesha kwa speed kali na romance juu(sisemi walikuwa wamelewa).

Sasa mbona na wewe unaleta assumptions pia?? Wapi hayo yalitokea labda kwa reference tu?? Niwekee hapa ajali iliyosababishwa na wapenzi kufanya mapenzi ndani ya gari wakiwa wako wawili tu.. Nakupa uwanja lete reference kutoka duniani kote.. Acheni maisha ya movie yabaki kwenye movie kila mtu anatambua thamani ya uhai..
 
Mkuu kuna watu kazi yao ni kuropoka tu ili mradi na yy aandike..no this is not good..
Huyu jamaa ni mchaga wa machame.na alikuwa na mke wake alikuwa anaelekea Lyamungo kuwaona wazazi wake..anamiliki maduka mawili ya spare pale Arusha na hii gari ni ya rafiki yake..yeye anamiliki stalet..

Na sijui kwanini wanatunga uongo kiasi hichi hawa wote ni Wamachame moja lyamungo sinde mwingine Kati.
Nimesikitika Hanifa alikua bado mdogo hata huyo kijana.
Kijana wa watu alikua anajituma lakini majitu mengine yanakuja kumchafua.
 
  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Mkuu kuna watu kazi yao ni kuropoka tu ili mradi na yy aandike..no this is not good..
Huyu jamaa ni mchaga wa machame.na alikuwa na mke wake alikuwa anaelekea Lyamungo kuwaona wazazi wake..anamiliki maduka mawili ya spare pale Arusha na hii gari ni ya rafiki yake..yeye anamiliki stalet..

Hata hapa ni utata mwingine, ufafanuzi tafadhari.
 
Back
Top Bottom