Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
hapana huyu Dada (RIP) ni yuleyule maana hawa wazaliwa wa maeneo hayo ya Bomang'ombe Lyamungo na hasa waislamu wana asili ya kisomali au kihabesh, hapo naona kanenepa baada ya kumpata mtoto.Naona kama ni wadada wawili tofauti.
Mungu awalaze mahali pema peponi
mwenye habari za hako katoto atujuze, au kalibaki nyumbani huko Lyamungo?
jamaa yangu kweli unatuchangamsha au ww ni MTANI wa wachagga?Huyo dada ni naye ni mchagga mkuu?
ukiangalia pua, kifua, midomo (Lips) si Mchagga asilia km nilivyosema hapo juu eneo hili liliingiliwa na Wasomali wanajeshi walioacha vita baada ya Vita vya 2 Dunia
kwanza wape REST IN PEACE kwanza