Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

Poleni wafiwa woote suaala la kifo halina utani hata kidogo ni kutokufikiriya pus zetu zote zimeinama pende usipende .uwe wapeponi,au wa motoni,uwe masikini au tajiri wote tutaondoka na vyote tutaviacha .singeona busara kumkejeri maiti,naweza kuita ni upumbavu.wafiwa woote poleni tuko pamoja
 
  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Kwahiyo unataka tuamini kuwa hawakuwa wakifanya mapenzi kwa sababu tu ni mtu na mkewe? kipi kinaweza kuwazuia kufanya hivyo ikiwa walikuwa wenyewe kwenye gari yao?
Unawezaje kuthibitisha kuwa mleta hii habari amesema uongo wakati kwa akili ya kawaida tu inaonesha hakukuwa na mtu mwingine zaidi yao wawili tu?
Unapomwambia abadili habari unataka aandike vipi? unajuaje kama hakuwepo kwenye eneo la tukio hadi useme abadilili habari? au unataka abadili kwa kuwa ni ndugu yako, na kwa habari hiyo itaharibu taswira yenu kama ndugu?
 
Hakika Ni msiba mkubwa Kwa Wanalyamungo Wenzangu...Rest In Peace Kileo(MAssawe) na Hanifa..

Hakika Ni msiba mkubwa sana kuondokewa na Vijana Hawa tena kwa ajali.

attachment.php
 
Attachments

  • Kileo.jpg
    Kileo.jpg
    22.2 KB · Views: 1,491
Kwahiyo unataka tuamini kuwa hawakuwa wakifanya mapenzi kwa sababu tu ni mtu na mkewe? kipi kinaweza kuwazuia kufanya hivyo ikiwa walikuwa wenyewe kwenye gari yao?
Unawezaje kuthibitisha kuwa mleta hii habari amesema uongo wakati kwa akili ya kawaida tu inaonesha hakukuwa na mtu mwingine zaidi yao wawili tu?
Unapomwambia abadili habari unataka aandike vipi? unajuaje kama hakuwepo kwenye eneo la tukio hadi useme abadilili habari? au unataka abadili kwa kuwa ni ndugu yako, na kwa habari hiyo itaharibu taswira yenu kama ndugu?

Kaka Logical Huwezi endesha gari huku Unafanya Mapenzi...
Hii tabia ya watu kurukia kwenye socia Media na kuandika uongo Watanzania itatuua....
 
Poleni sana mkuu.
Tatizo watu wengine hata hawachagui pakushadadia.
Mtu hajui chanzo cha ajali ya nini kushadadia? ???
asante sana mkuu imenihuzunisha sana kuona watu wakiandika uwongo mkubwa kiasi uwongo wake umeniongezea machungu ambayo siwezi ya elezea
 
Poleni sana wafiwa, huyo kijana alikuwa na shughuli gani? maana ni bwana mdogo ila gari ni ya bei mbaya.
 
Kwahiyo unataka tuamini kuwa hawakuwa wakifanya mapenzi kwa sababu tu ni mtu na mkewe? kipi kinaweza kuwazuia kufanya hivyo ikiwa walikuwa wenyewe kwenye gari yao?
Unawezaje kuthibitisha kuwa mleta hii habari amesema uongo wakati kwa akili ya kawaida tu inaonesha hakukuwa na mtu mwingine zaidi yao wawili tu?
Unapomwambia abadili habari unataka aandike vipi? unajuaje kama hakuwepo kwenye eneo la tukio hadi useme abadilili habari? au unataka abadili kwa kuwa ni ndugu yako, na kwa habari hiyo itaharibu taswira yenu kama ndugu?
ndugu yangu kama unawaza mapezi siyo wote wanao waza mapenzi muda wote ila mungu ata kusamehe bure maana hujuwi unacho kiongea au kuandika !!
waliofariki ni ndugu zangu 100% na ninawajuwa tabia zao kwa 100% hawakuwa kwenye mambo unayo waza watu wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 3 !! unadanganya watu kwa faida ya nani??!!!
 
Hoja sio kujua tabia zao, bali ni ushahidi wa ukweli wa tukio, siamini hata mleta hii habari kama ana uhakika na alichokiandika.
 
poleni sana kwa msiba mkuu,nini chanzi cha hiyo ajari?
hatuja juwa vizuri kama tairi ili pasuka ila waliaga kwenda kumtembelea shemeji yake kaka wa mke wake wakati wakurudi ndiyo wakapata ajali ambayo imetuhuzunisha sana !!!
 
Hoja sio kujua tabia zao, bali ni ushahidi wa ukweli wa tukio, siamini hata mleta hii habari kama ana uhakika na alichokiandika.
tukio la ajali nilakweli 100% na aliyepata ajali ni ndugu yangu 100% nimesikitishwa sana na tarifaa za uwongo alizo zitoa mleta tarifa
 
Kwahiyo unataka tuamini kuwa hawakuwa wakifanya mapenzi kwa sababu tu ni mtu na mkewe? kipi kinaweza kuwazuia kufanya hivyo ikiwa walikuwa wenyewe kwenye gari yao?
Unawezaje kuthibitisha kuwa mleta hii habari amesema uongo wakati kwa akili ya kawaida tu inaonesha hakukuwa na mtu mwingine zaidi yao wawili tu?
Unapomwambia abadili habari unataka aandike vipi? unajuaje kama hakuwepo kwenye eneo la tukio hadi useme abadilili habari? au unataka abadili kwa kuwa ni ndugu yako, na kwa habari hiyo itaharibu taswira yenu kama ndugu?
Kuwepo kwenye eneo la ajali inatosha kuthibitisha kuwa walikuwa wanafanya mapenzi!!!???angekuwa ndani ya gari ningemuelewa otherwise ni mzushi tuu!!
 
tukio la ajali nilakweli 100% na aliyepata ajali ni ndugu yangu 100% nimesikitishwa sana na tarifaa za uwongo alizo zitoa mleta tarifa

Mkuu nimeuliza tu ili ku-balance habari nipate ukweli, habari kama hii naweza kusema haijakamilika kwa kuwa mleta mada hajatoa maelezo ya kutosha na kwa upande wako sitegemei kuwa urakubali kuwa walikuwa wanafanya mapenzi huku ukiwa ni ndugu zako.
Kwahiyo habari kama hii cha kuchukua ni tukio lenyewe kuwa gari lilipinduka na kuua watu lakini hayo mengine ni kuaminishana tu.
 
Kuna watu hapa Jukwaani wanashikiliwa mawazo na wenzao, nani kasema Mwanga hakuna eneo linaloitwa King'ori?

King"ori inayojulikana iko mbele ya KIA na ndo walipopatia hyo ajali. King'ori ni Arachuga
 
tukio la ajali nilakweli 100% na aliyepata ajali ni ndugu yangu 100% nimesikitishwa sana na tarifaa za uwongo alizo zitoa mleta tarifa

Nimesioitika sana aisee hawa watu nawajua hasa Huyo mdada. Wapumzike kwa amani.
 
[ndugu yangu kama unawaza mapezi siyo wote wanao waza mapenzi muda wote ila mungu ata kusamehe bure maana hujuwi unacho kiongea au kuandika !!
waliofariki ni ndugu zangu 100% na ninawajuwa tabia zao kwa 100% hawakuwa kwenye mambo unayo waza watu wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 3 !! unadanganya watu kwa faida ya nani??!!!

Hivi huwa unafikiri unachoandika kweli? ni mimi ndiye niliyesema kuwa walikuwa wanafanya mapenzi au nimetumia taarifa ya habari kutoka kwa mpashaji wetu ku-balance habari?
 
Hakika Ni msiba mkubwa Kwa Wanalyamungo Wenzangu...Rest In Peace Kileo(MAssawe) na Hanifa..

Hakika Ni msiba mkubwa sana kuondokewa na Vijana Hawa tena kwa ajali.

attachment.php

roho imeniuma sana baada ya kuona picha yao
ni maumizi sana kwa ndugu zao hasa wakifikiria namna walivyowatoka gafla
 
Back
Top Bottom