Ajali mbaya katika eneo la King'ori Mkoani Arusha

kwa muonekano wa hilo gari na direction ya huko liliko kuwa linaelekea/kutoka,lazima mmiliki atakuwa ni mmoja ya "mabilioneya wa arusha".mtazamo tu.RIP mmiliki wa range wa rover sport na demu wako:decision:
 
Aisee sie wanga bado tupo live mida hii ya saa saba.
Weekends hizi na madem kwenye gari ni balaaa.

Unajua kuna kipindi baadhi ya watu wanajisahau na kuamua ku romancika ndani ya gari,na gari lenye ni SUV,kazi kubwa sana.

Utakuta hana Bima hapo ndio balaa,na kama kaazima ndio balaa zaidi,lazima auze nyumba

Na kama hana nyumba je?
 
Itakuwa ni vizuri ukatoa taaria zilizo sahihi kuliko kuandika kitu ambacho siyo sahihi. Waliopata ajali ni mtu na mke wake wala siyo wapenzi tafadhali badilisha maelezo yako na wote wamepoteza maisha dereva na mke wake na bado ni vijana ambao hawajafikisha miaka 33!!

Mume anaitwa (Emma) Massawe Nkya wa Machame Lyamungo kati alisoma shule ya o level Lyamungo Secondary WILAYA YA HAI KILIMANJARO.
 
Poleni sana wafiwa nilivyosoma nilijua mleta mada nae alikuwa kwenye gari sasa alijuaje kuwa w anafanya mapenz wakati hakuwepo ? Niwe mkitoa taarifa sahihi zenye uhakika R I P
 
majeruhi au vifo?kulikuwa na watu wangapi kwenye gari?anyway pole yao
 
Ajali mbaya imetokea usiku huu mbele ya eneo la King'ori mkoani Arusha (Haijafahamika mara moja kuwa kuna majeruhi wa ngapi/vifo).

Inadaiwa kuwa dereva wa gari alikuwa na mpenzi wake na walikuwa wanaendelea na mambo yao hadi dereva akajisahau na kugonga jiwe lililokuwa pembezoni mwa barabara na gari kupinduka kama linavyoonekana kwenye picha.

Kwa taarifa zaidi na maelezo ya kina tutayapata baadae au asubuhi.

View attachment 264258

duuh hizo habar nimezipata asubuh hii nimeshtushwa sana!...pole sana kwa wafiwa!...
 
Poleni sana wafiwa nilivyosoma nilijua mleta mada nae alikuwa kwenye gari sasa alijuaje kuwa w anafanya mapenz wakati hakuwepo ? Niwe mkitoa taarifa sahihi zenye uhakika R I P

aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake
 
King'ori sio mwamba ipo krb na kia

  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Mkuu mbona King'ori sio Mwanga??? Nna shaka na taarifa yako

  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Aisee sie wanga bado tupo live mida hii ya saa saba.
Weekends hizi na madem kwenye gari ni balaaa.

Unajua kuna kipindi baadhi ya watu wanajisahau na kuamua ku romancika ndani ya gari,na gari lenye ni SUV,kazi kubwa sana.

Utakuta hana Bima hapo ndio balaa,na kama kaazima ndio balaa zaidi,lazima auze nyumba

  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

majeruhi au vifo?kulikuwa na watu wangapi kwenye gari?anyway pole yao

  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Duh noma kwel kwel
 
poleni sana kwa msiba mkuu,nini chanzi cha hiyo ajari?
 
aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake

Watanzania wanamiliki viwanda vya kutengeneza uongo-JK
 
  • aliye leta hizi tarifa kanihuzunisha sana ndugu kwa kuandika uwongo mkubwa sana kuwa walikuwa wanafanya mapenzi wakati alitoka kumuona shemeji shemeji yake wakati wakurudi arusha ndiyo wakapatwa na hilo janga nimtu na mke wake tangu wameowana ni mwaka wa tatu huu inauma sana kuona mtu anaandika uwaongo nimemuomba abadilishe maandiko yake ili kumtendea haki marehemu na sisi ndugu zake​

Poleni sana mkuu.
Tatizo watu wengine hata hawachagui pakushadadia.
Mtu hajui chanzo cha ajali ya nini kushadadia? ???
 
Back
Top Bottom