Ajali mbaya Jiji Arusha mchana huu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,498
Reaction score
3,390
Ni ktk daraja kubwa la Temi jijini hapa mchana huu iliyohusisha gari ya hiace yb abiria T 920 ADK inayofanya root yake Town to Usa river na ndipo ilipokuwa ikitokea Usa na kuacha njia na kuingia darajani na majeruhi ni kibao na hata picha ninazo ila simu yangu imegoma.

Majeruhi ni kibao na wamepelekwa hospitali ya Mount Meru!

Nipo eneo la tukio!
 
Mkuu poleni sana,hilo daraja pamoja na kuwekwa matuta bado chinjachinja inaendelea?
 
Duh!? Mungu awajalie heri wagonjwa, wapone haraka!
 
Poleni majeruhi Kaka LiverpoolFC simu ikikubali tutaomba picha tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Daraja Themi ... liko wapi, si mto unaopita katikati ya mji ndio themi? Poleni wote liofikwa na maumivu?
 

Poleni majeruhi. Madereva wengi wa Arusha wanatumia ulevi wa viroba vya gongo,bhangi na mirungi!
 

Pole kwa majeruhi wa ajali
 

Uzito wa 'heading' haubebwi na habari yenyewe. Kibao ni wangapi na wameumia kiasi gani? Gari kuingia darajani ni kawaida ila kuingia mtoni ndio tabu.
 
Poleni majeruhi. Madereva wengi wa Arusha wanatumia ulevi wa viroba vya gongo,bhangi na mirungi!

Ni kweli kabisa ndiyo maana wanaoongoza kwa kupata ajali duniani ni madereva kutoka Arusha..mkuu LiverpoolFC hebu tuweke sawa au mimi mto themi siujui...poleni majeruhi
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa anamaanisha Daraja la mto Themi au Nduruma?
 
Kama ni mto themii, basi itakua mbele ya Mt. Meru hotel karibu na Manchester bar.
 
nafkiri ni daraja la mto Nduruma daraja la mto Themi ni hili la hapo mbele ya kanisa la Anglican karibia na new Arusha Hotel. Daraja la Mto Nduruma ni chinjachinja vibaya mno sijui pale kuna nini? Ila na uendeshaji wa maderva wa vifodi arusha mh! Mida hii tayari anatupia miti akifika usa anagonga jogoo moja akifka town jogoo moja afu lazima apitie kitu cha waterfront akakilie USA, na mida hii anawah shazi la kurudi USA si unajua mda wa hesabu unakaribia. Yaani ukienda salama ukarudi salama na daladala zetu hizi mshukuru Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…