Ajali mbaya Jiji Arusha mchana huu!

Ajali mbaya Jiji Arusha mchana huu!

Mimi ni mwenyeji wa eneo hili ila siko kwenye tukio. Hili ni eneo lililoko karibu na hoteli ya mount meru iliyokuwa inaitwa Novetel zamani au karibu na office za Serena. Nimependa tu kuwafahamisha sehemu kamili ilipotokea hiyo ajali. Poleni wathirika wa ajali.
 
Mwishoni mwa mwaka hapo Nduruma ni majango kila mara!
 
Poleni majeruhi, Mungu atawaponya
 
so sad nimepa taarifa kuna jirani yangu alikuwa kwenye gari kafariki
 
Tangu jana baada ya kuripoti ajali hii ckuwepo tena hewani kutokana na simu ninayoitumia kukorofisha,ila hakika pamoja na yote ni kwamba hakika jana jana raia wamepoteza maisha na hata hivyo MLERAI poleni sana na janga hilo la jirani yako! Mengi bila shaka tutayasikia kipindi hiki ya mwisho wa mwaka!


so sad nimepa taarifa kuna jirani yangu alikuwa kwenye gari kafariki


Ni majaliwa yake MUNGU kuuona mwaka!
 
Back
Top Bottom