Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
Nimepokea taarifa basi burdani likitokea korogwe asubuhi ya leo limepata ajali maeneo ya kabuku na inasemekana zaidi ya abiria 22 wamefariki hapo hapo
tena,duh jamaa anampango wakuleta Yutong nini?Poleni sana
kabanga asante kwa taarifa picha bado muhimu siku hapa jfbasi linaitwa burudani linatoka korogwe limedumbukia kwenye korongo karibu na kwarugulu estate.
kwa mujibu wa askari niliyemkuta hapo wakisaidia majeruhi,watu 12 wamefariki hapo hapo. wangine kadhaa wamelaliwa na hilo basi.
wale wapicha wanisamehe,nimeshindwa kuchukua picha kutokana na mazingira.