"Kazi ya Mungu haina makosa" haina exceptions.Hii kauli siipendi basi tu. Mambo mengine ni ya kibinadamu alaa!!!
Mimi ni shuhuda ambaye nilikuwa ndani ya bus la Al Saedy toka Kigoma kuja Dar na gari letu ndilo lilitumika kuipa escort Sumry ili lifike Police maana taa zake za mbele zilikufa.
Ukweli ni kuwa hao wananchi walitaka kufunga barabara baada ya mwenzao kugongwa na hata Sumry alipowapigia horn waligoma kuondoka na kuendelea na zoezi la kupanga mawe. Dereva wa Sumry alijitahidi kuwakwepa lakini akashindwa kutokana na mwendo kasi na pia kulikuwa na gari jingine mbele yake.
Ubishi wa hawa ndugu zetu ndio umepelekea maafa yote.
Ipo siku utakuja kuniamini, na wala mimi sijasema hilo kwa ajali zote!
jamani poleni hilo basi lilikuwa linatokea wapi kwenda wapi pengine kuna ndugu zetu humo
Hapana dreva alikimbia kituo cha police kilichopo zaidi ya 30km kujisalimisha.
Hapana dreva alikimbia kituo cha police kilichopo zaidi ya 30km kujisalimisha.
"Kazi ya Mungu haina makosa" haina exceptions.
Tusimchagulie mungu vifo ambavyo tunadhani vinakubalika au visivyokubalika.
Mungu kasababisha ajali ya baiskeli akaona haitoshi, akapeleka wengine kushangaa shangaa eneo la ajali, ukaja m-basi mwingine ukawazoa. Busara za kimungu anazielewa yeye mweyewe, tusijaribu kumchunguza. Warumi 11:33
Sasa Mungu gani huyo "safi na hana uovu" ambae ana uwezo wa kuepusha jambo baya anaacha litokee amekaa tu anatazama kama ngoma? Huyo atakuwa ni Mungu mzembe n​a ajiyejali na hafai kwa sababu hata kiongozi wa kidunia angetuletea uzembe kama huo tungemtoa madarakani.Ni kweli kwamba anaacha mambo mabaya yatukie.