Ipo siku utakuja kuniamini, na wala mimi sijasema hilo kwa ajali zote!Nilitegemea jf members wanafikiri zaidi GT, kumbe watu wanafikiri kiwangu hiki cha UCHAWI!!! Kwanini watu tusifikiri zaidi kidogo kujua mazingira yaliyosababisha ajali ambayo itasaidia siku za mbeleni kuliko tukawa wavivu au tukajizuia na kuishia hapo kwenye uchawi. Sasa itafika wakati kila ajali jibu litakua UCHAWI au KAFARA?.
Very sad kwa kweli and may their soul Rest In Peace..but naomba nimsahihishe mwandishi kwamba sio watu 14 ni watu 15 waliokufa pamoja na yule wa baiskeli.
Ipo siku utakuja kuniamini, na wala mimi sijasema hilo kwa ajali zote!
Imetokea usiku huu ajali mbaya maeneo ya Ikungi, Singida ikilihusisha basi la Sumry linalosafiri kati ya Kigoma-Dar.
Inasemekana mwendesha baiskeli alikuwa akivuka barabara lori likamgonga ghafla wanakijiji wamejaa kushangaa tukio na askari akipima ajali ndipo likatokea basi la Sumry na kugonga watu kumi na tatu pamoja na askari ni wa 14 mpaka sasa ndio idadi kamili ya waliopoteza maisha.
Mungu awalaze mahali pema Amina.
==========
ZAIDI:
==========
Picha for proof

SHUHUDA:

Mimi ni shuhuda ambaye nilikuwa ndani ya bus la Al Saedy toka Kigoma kuja Dar na gari letu ndilo lilitumika kuipa escort Sumry ili lifike Police maana taa zake za mbele zilikufa.
Ukweli ni kuwa hao wananchi walitaka kufunga barabara baada ya mwenzao kugongwa na hata Sumry alipowapigia horn waligoma kuondoka na kuendelea na zoezi la kupanga mawe. Dereva wa Sumry alijitahidi kuwakwepa lakini akashindwa kutokana na mwendo kasi na pia kulikuwa na gari jingine mbele yake.
Ubishi wa hawa ndugu zetu ndio umepelekea maafa yote.
hao waliokaa barabarani tuwaite mashujaa au tuwahitaje?
aisee uwe unasoma kabla ya kutoa maoni, mbona maelezo yapo so clear!!!!!hiyo Sumry ilikuwa inatoka wapi na inaenda wapi?
umeshuhudia vizuri lakini umeripoti kwa kumalizia vibaya!
kama una akili timamu ni lazima unikubalie kuwa dereva alipaswa kusimamisha gari alilokuwa akiendesha kwa kuwa barabara haikuwa salama kwa matumizi.
ALIYEKOSEA NI DEREVA WA BASI LA SUMRY, AMEUA KWA KUKUSUDIA.
Naomba unielewe kwama nilikuwa specific kwa kampuni fulani. Pia tembelea hapakwenye link kuna mjadala umeanzishwa:... ninachofahamu nikipata ajali au tatizo lolote sitalipeleka katika mtazamo huo wa UCHAWI au KAFARA. Watu tunatofautiana katika mitazamo na namna ya ku-judge mambo.