Ajali mbaya Arusha - Kisongo, takribani watu sita wafa.

R I P marehem wote! Preta take care na hiyo coner ya reds ukizingatia hiyo road unapita kila siku.
 
Imenisikitisha sana kwani hata mimi lile eneo naliona ni hatari. Kulikuwa na bumps pale sijui kwa nini waliziondoa
 
Kutokea CANADA hadi eneo la shule ya St.Constantine ni mahala pabaya mno kwa madereva. Haipiti miezi 2 bila fatal accident! Kimsingi panatakiwa kuwekewa alama Black Spot!
Nasikitika sana kwaajili ya hiyo ajali, nawaombea mar. pumziko la milele na majeruhi wapone haraka iwezekanavyo.
 
Imenisikitisha sana kwani hata mimi lile eneo naliona ni hatari. Kulikuwa na bumps pale sijui kwa nini waliziondoa

mkuu bumps bado zipo ingawa ni zile smoothern.TATIZO KUBWA LA PALE NIKONA ZILIzojificha kwenye miti
 
Mkuu LiverpoolFC hii ni ajili nyingine tofauti? Dah inasikitisha sana. imetokea mitaa ipi kamanda
Ajali mbaya imetokea majira ya mchana leo iliyohusisha magari matatu kwa wakati moja!
Imeua watu watano hapo hapo,na kujeruhi wengine wengi.

Imehusisha gari aina ya hiace ila ni la binafsi,Hilax pickup mashavu na landrover ya kampuni ya leopard.

Mi nimekuta tukio likiwa limeshatokea ila uhakika kwa watu niowakuta ni kwamba raia hao watano wamepoteza maisha.

MUNGU AWALAZE MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI,na hata walio majeruhi MUNGU watie nguvu wapone mapema!

Ni hayo tu WanaJF na nikaona niwajuze!

Jioni njema wote.
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema popen, Amen, Preta ile kona ni mbaya sana kwani ukiwa unatokea uwanja wa ndege sio rahisi kuona magari yanayokuja kutokea mjini. hii mbinu yako ni nzuri mpe pia @Blaki woman bila kuwasahau paka Jimmy na Mzee wa Rula
hili eneo naliheshim sana......kwa macho yangu nilishawahi kushuhudia mtu akizolewa na gari na kufa papo hapo........
ni eneo ambalo nikipita huwa speed inakuwa 10kph.......na inaonekana hiyo Hilux ni zile za samaki kutoka Babati.......huwa zinakimbia sana sana sana.......
R I P marehemu wote.......
 
Last edited by a moderator:
Big up sana mkuu Mzee wa Rula kwa detailed report,,wana JF wote waige utaratibu huu wa kutupia habari JF. Rip waliotangulia mbele ya haki
 
Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema popen, Amen, Preta ile kona ni mbaya sana kwani ukiwa unatokea uwanja wa ndege sio rahisi kuona magari yanayokuja kutokea mjini. hii mbinu yako ni nzuri mpe pia @Blaki woman bila kuwasahau paka Jimmy na Mzee wa Rula

wameipata mkuu....hii kitu imetokea pembezoni kabisj ya uzio wa Redds pale.....na hata saa hii bado damu inaonekana barabarani....kwa kweli inauma kumoyo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom