Ajali Matumbi, Dar: Daladala lagongana na Lori

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,286
Reaction score
5,274
Kuna ajali mbaya imetokeo muda huu maeneo ya Matumbi Darajani.
Ajali iyo imehusisha daladala la DCM linalofanya route toka Sim 2000 to Gongolamboto na lorry la scania.

Hali ya Daladala halitamaniki na limeungua kiaina, matairi yometoka, inavyolekea ni daladala lilikosa uelekeo na kuvamia upande wa pili wa barabara ambao lorry la scania lilikuwepo

Kuhusu vifo na idadi ya majeruhi nitawapa zaidi taarifa
7b722885-d899-4cdb-b51c-2c3663fdea5b.jpg
bd19217a-eb27-444e-948e-eb2c505f8bc6.jpg
293a38f1-f441-46b6-ace1-3e4615ca0e03.jpg
de64e8d6-d2c1-44a4-b287-aa8a57f8a699.jpg

G.O.M.D
 
Pole yangu sana kwa wahanga wa hilo tukio.Mungu aweke mkono wake asiwepo aliekufa japo aliejeruhiwa awe amezimia kwa mshtuko tu!Amina.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
hizi ajali zinapotokea ambazo nyingi tunapoteza watanzania wenzetu ,zinasikitisha sana na nini tunajitahidi kuzuia zisitokee tena hii ni debate for another day,hopefully hakuna waliopoteza maisha.
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe. Kwa majeruhi,pole hawanisikia lakini dua zangu zitawafikia,Mungu awasaidie.
 
Kuna ajali mbaya imetokeo muda huu maeneo ya Matumbi Darajani.
Ajali iyo imehusisha daladala la DCM linalofanya route toka Sim 2000 to Gongolamboto na lorry la scania.
Hali ya Daladala halitamaniki na limeungua kiaina, matairi yometoka, inavyolekea ni daladala lilikosa uelekeo na kuvamia upande wa pili wa barabara ambao lorry la scania lilikuwepo
Kuhusu vifo na idadi ya majeruhi nitawapa zaidi taarifa

G.O.M.D
Poleni mno mungu awape wepesi
 
Pole yangu sana kwa wahanga wa hilo tukio.Mungu aweke mkono wake asiwepo aliekufa japo aliejeruhiwa awe amezimia kwa mshtuko tu!Amina.

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
Nashukuru kwa sala yako. Namshukuru Mungu mdogo wangu ametoka salama.
 
Back
Top Bottom