pale matumbi patakua na shida ,yaani nikipita pale nakumbuka jinsi nilivyopata ajali nikiwa kwenye bodaboda kuelekea access bank tuligongwa na gari(harrier) na msomari mmoja hivi alikua anavuka barabara kuingia service road ,tukagongana na gari nakutupwa mimi kwenye mtalo dereva wangu kweny service road kabisa na gari iliyokua nyuma yetu(Eicher) ikaigonga ile harrier,nashukuru Mungu tulipona ila kipindi nauguza majeraha palepale ikatokea ajali mbili ,thats why nasema pale patakua na kitu ama kuna makosa ya kiusalama barabarani (signs,traffic light n.k)
Madaraka ya kulevya