Ajali: Kampuni ya basi la Newforce imegonga mwendesha bodaboda

wakukurupuka1

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
525
Reaction score
1,215
Basi ilo lilikua linatokea tunduma limemgonga mwendesha bodaboda na kumuua hapo hapo

Chanzo cha ajali Bado hakisomeki

Tukumbuke wiki hii LATRA wametoka kuwapa onyo la mwsho kampuni iyo lakni kabla ya wiki kuisha basi ilo limepagonga mtu

Nb::๐Ÿ˜›icha za bodaboda ngumu kutuma maana jamaa amesambaratika

 
Daaaah!!!
So sorry to him, ametawanywa vibaya sana.
Lux aeterna luceat ei, Domine, requiescat in pace (Mwanga wa Milele umwangazie eeh Bwana, Apumzike kwa Amani)
 
Madereva wote wa mabasi wangerudi kusoma udereva la sivyo kila leo watauwa watu
Lingine police na njaa zao waache kuchukua hela za brashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ