Ajali Jioni hii Shangarai- Arusha

Ajali Jioni hii Shangarai- Arusha

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
IMG-20130205-00343.jpgIMG-20130205-00344.jpgIMG-20130205-00345.jpg
updates za majeruhi baadae
 
loo niko moshono. ngoja nijotahidi kuwahi.
 
Poleni sawa, please tupe updates za hiyo accidents. Thanks
 
Hiyo ISUZU TX tetanasi tupu, waosheni majeruhi vidonda faster na Gv
 
Haka ka-afande namtamani sana,iko siku nitampandia na gari....ni vehicle inspector wa pale usa river,kashanilamba hongo na faini bado nikapata....kanapenda sana kusimamisha mabasi....ama zako ama zangu....mxxxiiiuuuuuu....mmenikumbushia machungu
attachment.php
 
Kwenye hii super roof kapona mtu kweli hasa walokuwa wamekaa mbele?
 
Haya

Haya ni maajabu yani alitoa taarifa ya ajali mwaka 2013 akiwa Arusha miaka 6 baadae nayeye kafa kwa ajali huko huko Arusha aepe easy mustant
'Aepe Easy Mustant' ndo nini Mkuu? Niongezee Maarifa Mkuu!
 
Back
Top Bottom