Ajali: Bus la Kampuni ya Frester lapata ajali

Ajali: Bus la Kampuni ya Frester lapata ajali

Daah hawa Madereva wa bus ni hatari sana huwa hawaoni hatari mbele yao wanakua mwendokasi na hawaogopi gari yeyote iliyo mbele yao na wana makadirio kidogo sana ukiwa na gari ndogo ni rahisi kusubiri lipite ila sio gari kubwa...inatakiwa iwepo fine kubwa kwa Bus linasobabisha ajali hata kuwalipa wahanga kama Zambia au Zimbabwe huo upuuzi utapungua sana..
Naunga mkono hoja
 
Madereva wa mabasi wanaendesha utafikiri wamepakia nyanya hawajali uhai wa watu
Nchi hii bila kubadili sheria za barabarani watu watazidi kufa kama inzi
Tutazikaaaa mpaka tutakuja zoeaaaa

Ova
 
Naunga mkono hoja
Zambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...
 
Madereva wa bongo hawajifunzi? Sijui Kuna shida gani.
 
Inasikitisha mno ajali za kizembe kama hizi, weather hapo sio rafiki, tena why overtake kwenye barrier?,angalia mstari hapo chini,msitari huu unamainisha usiuvuke
 
Alafu Mstari chini hapo haumruhusu kuoverake, ila angalau anaonekana alikua kwenye mwendo wa kawaida hawakua kasi
 
Zambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...
Wahanga wa ajali huwa wanalipwa na bima
 
Tuendelee kuomba kila wakati,huu mwaka unaisha vibaya sana kwa kweli,Lord have mercy on us...
 
Naona watu wanasema hakuwa kwenye mwendo kasi..

Nafkiri hapo kafanya jitihada za kufunga breki kwa nguvu zote, same as kwa hilo lori.. bahati nzuri speed ilikiwa reduced enough kupunguza impact.

Leo hii unasoma habari za Ajali ya watu fulani, KESHO unakuwa ww ndio mhusika ndani ya Ajali fulani.

Kuna fumbo sana ktk haya Maisha.
 
Back
Top Bottom