Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,932
Baaa! nimemckia mhanga akisimulia jinsi moto ulivyoanza, walikua wanakuja Mtwara.
Okay wamepata ajali maeneo gani?? Hawa huwa wahuni wakifika mnazi mmoja abiria wa Mtwara mnaanza kusumbuliwa....

walishapita mnazi mmoja,maeneo ya Hingawali
Mkuu kiko kwa nje au kwa ndani? Sio kwamba nakubishia, i'm just curious!