miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
kwa kweli kaondoka na utamu wakehe was so romantic!
kwa kweli kaondoka na utamu wakehe was so romantic!
may his romantic body rip!kwa kweli kaondoka na utamu wake
amenmay his romantic body rip!
wazuri wanakufa tunaachwa na watu wabaya tuamen
GeitaHivi Mbogwe iko mkoa upi? Shinyanga, Simiyu au Geita?
Duh!!!he was so romantic!
Yote ni mipango ya Mungu mkuu, labda ungekuwepo kwenye hilo bus malaika wako walinzi wangewaepusha na hiyo ajali. Au ungeweza kupaliwa na tonge la pilau harusini ukarudisha namba.Ya mungu mengi.....nilialikwa kwenye harusi bukombe alaf ilikua nirudi leo kuwahi kazini na HILI BASI ila nikakosa ruhusa duh APUMZIKE KWA AMANI HUYO DEREVA