Ajali: Basi la Mombasa Raha lapata ajali na kuua

Ajali: Basi la Mombasa Raha lapata ajali na kuua

Poleni wafiwa na majeruhi Mungu awajalie mpate nafuu.
 
Wametangaza ITV kumbe wamegongana na pick up,wakati dereva wa bus anaovertake gari jingine kwenye kona ndio akakutana na pick up
 
Pumzika kwa amani kaka dereva.... Pole kwa wote waliiguswa na msiba huu
 
Back
Top Bottom