Ajali: Basi la Mombasa Raha lapata ajali na kuua

Ajali: Basi la Mombasa Raha lapata ajali na kuua

Kuna ajali Moja ilitokea maeneo karibu na sehemu napoishi(kijijini kwetu),baada ya ajali kutokea Boss alipofika eneo la tukio aliramba damu ya maiti Moja katika hali ambayo wengi hawakuona
 
Duuuh,
Mbona basi haiko barabarani?

Barabara gani hiyo😳😳

Pole kwa wote waliopatwa na mkasa huo.
Maswali mengine dah!!!!! Umesha ambiwa kwamba Gari limepata ajali halafu unauliza mbona Gari haipo barabarani ama wewe muuliza swali sio mwenzetu hujui hata lugha yetu ya Taifa? Sawa kusoma huwezi hata picha nayo mgogolo duh!!!
 
Hivi Mbogwe iko mkoa upi? Shinyanga, Simiyu au Geita?
Mbogwe ni wilaya mpya iliyokatwa kutoka wilaya ya bukombe sasa ni geita ila zamani ilikua shy.ukiwa unatoka kahama ukanyoosha tu barabara kuu iendayo Rwanda na Burundi mji unaofuata tu kutoka kahama ndio masumbwe-mbogwe hiyo
 
Wakora, ahsante sana Ta-kibombo kwa maelezo yako
 
Back
Top Bottom