MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
majerui wapelekwe hospital
Mhhh Hood sasa inataka kua kama Sumry au Mohammed Trans
Mmh!! unamaanisha ni hapo juu kabisa ukiwa unakaribia Uyole?
aaaah!, mbona unatafsiri mambo kihuni?, kama ni hivyo naomba usiwe unaniquote.so unataka hata asiwasaidie majeruhi aanze kupiga picha au?
linaweza kuwa kosa kisheria kama ume-overtake sehemu isiyoruhusiwa......au umeo-overtake bila kuzingatia usalama kulingana na mazingira[kosa la uzembe]
Basi la kampuni ya Hood limepata ajali baada ya kupiga mweleka Inyala Mbeya kutokana na mwendo kasi mkubwa na overtaking.
=====
acha kupotosha wewe hood haikuwa katka mwendo kasi na wala haikuovateki gali yeyote pale ilikuwa ktk mwendo wa kawaida na kukatika kitu flani wanaita syrinder bolit na kuanguka na hakuna majeruhi wala marehem ila abilia baadhi wamemwagikiwa na oil ya gali hilo
Kuovertake ni kosa?!!!!!?!??!
au mpaka itegemee, ikiwa ni hivyo basi useme kuovertake sii kosa kisheria.
hizi ajali zinatumaliza Watanzania!!
Mamlaka husika ichukue Tahadhari mapema!!
go back and read my post again. make sure u understand.