Vivax
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 522
- 186
Basi la kampuni ya Hood limepata ajali baada ya kupiga mweleka Inyala Mbeya kutokana na mwendo kasi mkubwa na overtaking.
=====
=====
Is true, nimepita hapa nikiwa kwenye coaster naelekea Mby, tumeliona basi la Hood limelalia ubavu na kuna traffic police pia watu kadhaa wamelizunguka, sijajua ni la kuelekea wapi. So bad, Mungu atuepushe na ajali hizi, Hood ni mabasi yangu kwa route ya Mby Arusha mara kwa mara.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums