Ajabu ya wanawake

Ajabu ya wanawake

Toughlendon

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
498
Reaction score
743
Wadau ivi kwanini ukiwa huna hata mwanamke mmoja kuwapata inakuwa kazi ila ukiwa nae unakuta wengine wanamiminika mpaka unakimbia ?...sasa jaribu kuwapiga chini wote uone moto wake....

Alafu jambo lingine ivi girls huwa wanalichukuliaje swala la kuwa a side chick ?... are they competing with the main chick ? au they are trying to be patient hopping one day they will win u over the main chick ?...au its just a way of girls staying relevant by having a man regardless the mans situation ?...
 
Simple logic ukiwa nao wengi wale wa pembeni wanakuwa na fikra kwamba unayaweza sana mambo na unaweza sana kutunza mwanamke so na wao wanataka kujaribu kukuwin.. but kama huna wanakuona hopeless may be umekimbiwa sana coz huwezi lolote
 
aisee kumbe it applies to alot of people......
 
Na hakika utawaka tamaa juu yake nae atakutawala, ni laana tuliyopewa juu yenu siku ile ya Eva kula tunda la mti wa katikati

Hiyo sentensi inayaakisi maisha halisi ya mwanamke Mara tu unapobalehe unaanza kuhisi kutaka mwanaume unaota mume na watoto unaanza kujipendezesha ili umpate mwanaume na ukimpata ni kulinda himaya yako ili bwana asione mwanamke mwingine zaidi yako hali ya ushindani inakuwa kali sana kati ya yule mmiliki na wala sidechicks kila mmoja anataka kumuonyrsha mwenzie kwamba mume ananipenda mimi

Usiombe haohao wakakukatia tamaa utajuta maisha ya kuchanganya wanawake ni hulka yenu ila akikugundua na akachoka anakupangia mashambulizi ya kukuangamiza ni ke wachache ambao huwa tunasema namwachia Mungu lkn waliosalia anakuua au kukuroga na hapo ndo mwisho wako
Ninayo mifano hai ya jinsi wanawake walivyogundua na hatua walizochukua sisi kweli ni nyoka na adui wa mwanamke ni mwanamke
 
Mimi kwangu ni pesa, nikiwa na 5,000 ndiyo siku mitatamani kula soup ya ulimi, nyama choma, mtoto, na ndovu baridi.

Nikiwa na laki ambayo haina budget, wali maharage na uhai vinashuka vizuri tu.
Unamwachia Mungu sio madam?? Ukweli vita ya kugombea bwana huwa ni mbaya sana
 
Mwanaume ni kama nyumba za Lugumi, wakati wote huwepo kwenye mnada. Lakini hutokea akina Dr Shika na kujifanya wanazitaka kuzinunua. Lakini kiukweli hata hela mfukoni hawana, tahadhari sana na wanunuzi matapeli wapo tayari kutoa dau lolote lakini sio wanunuzi.
 
Na hakika utawaka tamaa juu yake nae atakutawala, ni laana tuliyopewa juu yenu siku ile ya Eva kula tunda la mti wa katikati

Hiyo sentensi inayaakisi maisha halisi ya mwanamke Mara tu unapobalehe unaanza kuhisi kutaka mwanaume unaota mume na watoto unaanza kujipendezesha ili umpate mwanaume na ukimpata ni kulinda himaya yako ili bwana asione mwanamke mwingine zaidi yako hali ya ushindani inakuwa kali sana kati ya yule mmiliki na wala sidechicks kila mmoja anataka kumuonyrsha mwenzie kwamba mume ananipenda mimi

Usiombe haohao wakakukatia tamaa utajuta maisha ya kuchanganya wanawake ni hulka yenu ila akikugundua na akachoka anakupangia mashambulizi ya kukuangamiza ni ke wachache ambao huwa tunasema namwachia Mungu lkn waliosalia anakuua au kukuroga na hapo ndo mwisho wako
Ninayo mifano hai ya jinsi wanawake walivyogundua na hatua walizochukua sisi kweli ni nyoka na adui wa mwanamke ni mwanamke
Afadhali kama mmejigundua kuwa wanawake ni nyoka,ila sio wote ila wengi wenu mko hivyo,ndio maana when it comes to a point of having an affair with a woman am always extra careful..
 
Zaidi ya umakini ukikutana na nyoka utajuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom