Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,668
- 167,703
Hiyo sio kwa wanawake tu hata wanaume ni hivo hivo....
Ukiwa single wapo mbali, ukimilikiwa wanamiminika kama nyuki, barabarani ukiwa mwenyewe hamna shida ukiwa na mme utakonyezwa weee sijui kwanini.