SAMAHAN KWA KUTOKA NJE YA MADA WAKUU,
Hiv ni kweli kuna uhusiano uliopo kati ya mawingu na uwezo wa kuelewa/fikra/ubongo, ukweli ni kwamb siku ya leo kichwa naona ni kizito sana sio kawaida kbsa sina ninachoelewa, NETWORK haipo kbsa na kila nikijarbu kuelewa ni mwendo wa PLEASE WAIT au CODE ERROR kbsa, sina ninachoelewa sio uzi wala comment na tangu asubuh sina cha msing nilichofanya na watu wawili wameniuliza, mmoja kaniambia "leo mbona sikuelewi" mwingne "leo mbona upo slow sana?" ndo nikaona kbsa kuna kitu kweli, sasa najiuliza ni mawingu au ni ile supu niliyokunywa mgahawan pengne ni ya kondoo au nyumbu, mana kiukweli sikuielewa elewa ila skutaka kujiuliza sana nikahsi pengne ni aina ya mapishi. Napata wasi wasi kwamba pengne hata hapa nimeandka pumb tu,
NOTE: this is SERIAS sitanii kbsa.