Ajabu ya huyu mwanaume

Ukipata muda wa kuongea na huyo mfumaniwa mwambie aandae laki 6 watarudi tena kumalizia hesabu zao.
 
Hajakosea. Hata kisheria kesi ya fumanizi ni ya madai. Sio jinai. Alichokifanya ni kufupisha soo ya kupelekana mahakamani, kutafuta mashahidi n.k.
 
Sio wanawasiliana na jamaa anajua mke yuko wapi so jamaa akisaula kabla hajaweka dushe jamaa anavamia. Anakula mkwanja Haooooo siku imeingia
Hiyo ipo sana tu, kuna jamaa yy alikuwa anakula dili na mama yake mzazi, walikuwa wanadili na wazungu, mama anajipendekeza kwa wazungu huko arusha, akishaingia laini anawasiliana na mwanae ili kutega mitego, wakikubalia wakutane hotel ipi anamjulisha mwanae kisha bonge la fumanizi linafanyika huku wakimkomba dola mzungu na kusepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…