Labda wanamkataba na UKIMWI kuwa hautawagusa.Kwahiyo anatafunwa mke njema anashika mwanja
Si afadhali kapata hata pesa sababu tabia huezi kuibadilisha cha msingi ni kuigeuza dili upige pesa afu unatafuta mchepuko mtamuu wa kutulizia mawazoDah... Leo nimepita mitaa fulani uswazi nimekuta bonge la mtafaruku..... Jamaa kamfumania mkewe anatafunwa kwenye nyumbani ya jirani yake....... Cha ajabu mwenye mke alidai alipwe laki 4 ya fumanizi yaishe........
Kweli bana Jamaa kaingia ndani katoka na laki4 kamkabidhi mwenye mke... akazihesabu... Kisha akaita bajaji akasepa na mkewe.... Ajabu sana....
Nasubiri mfumaniwa atulize akili nikaongee naye kishkaji
[emoji13] [emoji13]
umenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alipigwa ndoa ya mkeka pande za tabataKuna jamaa alikuwa hotelier zenji alishanipa story kama hizo huko zenji wanafanya sana hizi issue lkn si kwa mkwanja ila ndoa. Demu anapanga fumanizi na wazazi unapigwa ya mkeka
Kwa nionavyo hata akili ya kuwa na mchepuko hana. Mwanaume gani anakuwa wa hovyo hovyo kiasi hicho.Si afadhali kapata hata pesa sababu tabia huezi kuibadilisha cha msingi ni kuigeuza dili upige pesa afu unatafuta mchepuko mtamuu wa kutulizia mawazo
Hahahaa kuna dogo fundi ujenzi naye kapigwa kitu cha mkeka mitaa ya kigamboni geza,km muvi vile aseeeumenikumbusha mbali sana kuna jamaa yangu alipigwa ndoa ya mkeka pande za tabata
Kama hata mchepuko hawezi kuuhandle basi ana hasaraKwa nionavyo hata akili ya kuwa na mchepuko hana. Mwanaume gani anakuwa wa hovyo hovyo kiasi hicho.