Mkuu Dactari na Mwalimu umewaonea,this is charity work kaka,no wito kama wito mwingine japo wachache wanautumia ndivyo sivyo,but 90% am telling you wanajitolea kikoree.
ππ Ww kwel kichwa maji, kwahy Mm sio mbaga.?
Nmejiunga JF hata simjui mtu yeyote humu.
Tatizo umeshikiwa akili na watu humu akiwemo huyo uliyemtaja Tuliza papa hilo.