AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

Ndio maana China kesi kama hizi wnakunyonga tu, na ndo maana watu wanakuwa wanafanya kazi kwa interest za Nchi na wala sio binafsi,

Tunasaini mikataba ya kupinga Hukumu ya kifo then watu wanakuwa wazebe na kufanya wanavojisikia, Hava ni shenz type kabisa, Kama watuhumiwa wa ufisadi wangekuwa wananyongwa basi tungekuwa hatusiii watu kuwa wabadhilifu kwani hakuna mtu anaependa kuwahishwa,

Yani tanzania ya leo kila ukisikiliza media ni lazima utakutana na Habari ya ubadhilifu wa fedha kwanzia ngazi ya chini Hadi Juu!

Tutafika tu!
 
Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka?

Kwa mantiki hiyo, ikiwa Chenge kasema fedha ya Dowans walipwe, basi ujuwe kaiona sheria kwa jicho la wazi na anajuwa kutokuwalipa Dowans kunaweza kuleta utata zaidi na kuliingiza Taifa kwenye utata zaidi, Jee, inawezekana kuwa hata Symbion hawatakubali kulipia mitambo ambayo bado ina deni?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
U wapi uzalendo wa viongozi kwa Taifa lao.,bila hata aibu unaisaidia kampuni 'inayoidai' serikali unayoitumikia ili iweje?.Nilitegemea angesaidia serikali na nchi yake isiingie au jinsi ya kujitoa katika katika migogoro ya kisheria...
 
katika kudhihirisha uswahiba na ufisadi wa mapacha watatu,chenge amewasilisha pingamizi la kisheria kutetea dowans ilipwe na serikali ya tanzania.source nipashe leo

bIG UP CHENGE

Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA

KILA MTU ALINUFAIKA
 
ndio maana china kesi kama hizi wnakunyonga tu, na ndo maana watu wanakuwa wanafanya kazi kwa interest za nchi na wala sio binafsi,

tunasaini mikataba ya kupinga hukumu ya kifo then watu wanakuwa wazebe na kufanya wanavojisikia, hava ni shenz type kabisa, kama watuhumiwa wa ufisadi wangekuwa wananyongwa basi tungekuwa hatusiii watu kuwa wabadhilifu kwani hakuna mtu anaependa kuwahishwa,

yani tanzania ya leo kila ukisikiliza media ni lazima utakutana na habari ya ubadhilifu wa fedha kwanzia ngazi ya chini hadi juu!

tutafika tu!
kama mahakama imeshindwa kutoa haki iliyo sawa ss wa tz 2na weza.tuungane pamoja muone kama a2shidi zidi ya mafisadi.
 
kweli sikio la kufa halina dawa, yaani pamoja na makandokand yote yanayomwandama bado anataka kuwakandamiza watanzania. hawa watu hivi hawamwogopi hata mungu kidogo ......tunalaani kwa nguvu zote hila za hawa mafisadi.
 
Chenge 2samehe ss wa tz.chenge ajui kama kuna maskin ata kidogo ndo maana ana fanya aya.ili ajue km kuna maskini 2moneshe kwa vitendo ss wenyewe kuwa 2me shoka na ufisadi ulio komaa.bora 2we kama rbya
 
Mkuuu tatizo la TZ hatuna wazalendo wa ukweli ndiyo maana kesi nyingi hata za ushindi wa wazi serikali inashindwa Hi ni sababu iliyo nifanya nimeombe atumie abinadamu ili atusame BURE tuu !!!!!

Kama ipi? Mbona juzi tumeona Kikwete akishinda kesi ya Mabilioni ya Rada, madudu yaliofanywa na Mkapa?
 
bIG UP CHENGE

Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA

KILA MTU ALINUFAIKA[/QUOT

Hatutashangaa wewe na chama chenu cha magamba mtaandamana kumuunga mkono huyo Chenge kwa kujitolea na kuwa mzalendo!!!
 
Acheni presha, what is 94 bill. by the way! Kuelekea anguko kuu kuna gharama zake na sasa hatuna budi kuvumilia haya yote ili tutoboze, watanzania vumilieni mambo mazuri hayapatikani kirahisi ili kuiangusha ccm lazima pawepo madudu zaidi na madudu ni gharama, yaweza kuwa hata zaidi ya hii ya DOWANS
 
bIG UP CHENGE

Hii Ni HAki DOWANS KULIPWA MAANA WALITOA HUDUMA KWA WATANZANIA

KILA MTU ALINUFAIKA[/QUOT

Hatutashangaa wewe na chama chenu cha magamba mtaandamana kumuunga mkono huyo Chenge kwa kujitolea na kuwa mzalendo!!!

Husiangalie chama angalia sheria inasemaje
 
Fisadi mkubwa huyu hata aibu hana katuibia watanzania na kusaini mikataba mibovu katika historia ya tanzania na dunia kwa ujumla na sasa anatutumbukiza kulipa deni ambalo yeye na fisadi wenzake RA na Lowasa washafaidika na wanaendlea. Huyu anakiwa apigwe mawe mitaani this is too much!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
bila sisi kujitolea na kuanza kuwaua hawa wasaliti kama wanavyofanya kwa mandela tutaishia kunung'unika milele
 
Nakumbuka Bunge lililopita, Mbunge mpya kwa tiketi ya cdm, Tundu Lissu, alipokuwa anajitafutia umaarufu Bungeni kwa kufanya u"tundu" na kuzua malumbano kwa kila hoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, alisimama Chenge na kumpa Tundu hoja moja tuu ya kisheria ambayo ilimfanya Tundu kuwacha utundu wake wa kulumbana, kwani kwa pale ilidhihirika wazi kuwa Tundu ni katoto kwa Chenge kisheria. Nani anaekumbuka?

Kwa mantiki hiyo, ikiwa Chenge kasema fedha ya Dowans walipwe, basi ujuwe kaiona sheria kwa jicho la wazi na anajuwa kutokuwalipa Dowans kunaweza kuleta utata zaidi na kuliingiza Taifa kwenye utata zaidi, Jee, inawezekana kuwa hata Symbion hawatakubali kulipia mitambo ambayo bado ina deni?
Acha upuuzi wako hatuwezi kukubali ujinga eti kwa vile chenge anajua sheria,yeye ndio alituingiza kwenye hii mikataba ya kinyonyaji kwani by the time alikuwa hajui sheria...unapaswa kujua kuwa chenge sio mzalendo labda kama una personal interest naye..
 
Back
Top Bottom