Ajabu: Balozi Seif Iddi apigiwa Saluti na Heshima zote na majeshi, Seif Shariff wampa Mkono

Kuliko zile za dada zetu na wakina mama wanazotinga nazo ndani ya mijengo ya Makanisa kwa ajili ya kumuomba 'mungu'!
au za Bi kidude, Khadija Kopa, Mzee Yusuph, au Husna wa kanga mbendembende wanavyoenda msikitini kumswalia Marehemu Allah aka Mtume Mha-Mad
 
Asingeenda uwanjani kama anapinga hayo mapinduzi. ni kenge pekee hukimbia mvua kutumbukia mtoni. ila tuache matani sef amependeza ki-kameroon kameroon baada ya kunyoa ile midevu!!!!!!!!
midevu ilikuwa ni ishara ya ualshaabab, ndo mana anapingana na wale wanaotaka kafu kiwe chama cha ki Alshaabab
 
au za Bi kidude, Khadija Kopa, Mzee Yusuph, au Husna wa kanga mbendembende wanavyoenda msikitini kumswalia Marehemu Allah aka Mtume Mha-Mad

Mkuu ALLAH si MTUME MUHAMAD.Naona leo umeamua kukashifu dini nzima ya UISLAM kwa sababu tu mnabishana na Malaria sugu!Nakushauri uiruhusu tena busara yako irejee kichwani mwako kama kawaida.
 
Mkuu ALLAH si MTUME MUHAMAD.Naona leo umeamua kukashifu dini nzima ya UISLAM kwa sababu tu mnabishana na Malaria sugu!Nakushauri uiruhusu tena busara yako irejee kichwani mwako kama kawaida.
Mkuu usilazimishe niamini Allah sio Muha-mad kama vile ambavyo sikulazimishi uamini Yesu ni Mungu, twende sawa tu mkuu
 
Mod mume makini nahuyu mpotofu anaekashifu dini ya kiislam anaejiita mzito kabwela,huyu nimjinga sana,akumbuke kujibadili jina sio sababu ya kutojulikana,shauri yake alshabab wamejaa tele tanzania,asije kulaumu mtu akifanyiziwa kwa kutukana dini za watu,hilo ni langu angalizo na tahadhari kwake,aache udini wakijinga.
 
Mod muwe makini nahuyu mpotofu anaekashifu dini ya kiislam anaejiita mzito kabwela,huyu nimjinga sana,akumbuke kujibadili jina sio sababu ya kutojulikana,shauri yake alshabab wamejaa tele tanzania,asije kulaumu mtu akifanyiziwa kwa kutukana dini za watu,hilo ni langu angalizo na tahadhari kwake,aache udini wakijinga.
 
Mkuu usilazimishe niamini Allah sio Muha-mad kama vile ambavyo sikulazimishi uamini Yesu ni Mungu, twende sawa tu mkuu

Mkuu sijakulazimisha bali nimekushauri tu.Una hiari ya kuendelea kumwaga kashfa dhidi ya dini nyingine pia una hiari ya kuacha.Isitoshe katika mjadala huu sijaona mahali suala la yesu lilipozungumziwa.Nadhani hapo tumekwenda sawa muungwana.
 
Mod mume makini nahuyu mpotofu anaekashifu dini ya kiislam anaejiita mzito kabwela,huyu nimjinga sana,akumbuke kujibadili jina sio sababu ya kutojulikana,shauri yake alshabab wamejaa tele tanzania,asije kulaumu mtu akifanyiziwa kwa kutukana dini za watu,hilo ni langu angalizo na tahadhari kwake,aache udini wakijinga.
Mods wamekusikia
 
Mkuu sijakulazimisha bali nimekushauri tu.Una hiari ya kuendelea kumwaga kashfa dhidi ya dini nyingine pia una hiari ya kuacha.Isitoshe katika mjadala huu sijaona mahali suala la yesu lilipozungumziwa.Nadhani hapo tumekwenda sawa muungwana.

hata mimi katika mjadala huu hakuna mahala mimekashifu uislam, twende sawa tena
 
Maalim Seif apunguze kuwa muendeshaa chama pekee; pengine wajeshi waliokuwa zamu leo ni wapenzi wa kina Hamad Rashid. Hata hivyo sidhani kama katika orodha ya haki zake pana popote panaposema ni lazima atapigiwa saluti. Hivyo hakuna wa kulaumiwa
 
Basi kama kuna kitu kimemshusha hadhi Maalim S.S.Hamadi basi ni sherehe za mwaka huu za kumbukumbu ya uhuru wa Tanzania Zanzibar, maana, hii imedhihirisha kuwa Mh. Hamadi Rashid Mbunge wa Wawi alikuwa na pointi kusema S.S.Hamadi anaidhoofisha CUF. Mheshimiwa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Tanzania Zanzibar Dkt. Shein amesema serikali iliyoko madarakani inatekeleza ilani ya CCM ya 2010, kwa hiyo Maalim S.S.Hamadi naye pia anatekeleza ilani ya CCM huku akidhoofisha CUF ama bila kujua au kwa kujua. Ingekuwa ahueni kwa S.S.Hamadi kama neno Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Tanzania Zanzibar lingetajwa mara nyingi kwenye hotuba ya Mheshimiwa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya Tanzania Zanzibar Dkt. Shein, hiyo ingedhihirisha kuwa CUF inatoa mchango katika kufanikisha maendeleo ya Watanzania waishio Zanzibar, lakini leo haikuwa hivyo.

Kwa hili Maalim S.S. Hamad inabidi amuombe msamaha Mh. H. Rashid na wana CUF wote kwa kuwasaliti.

Hawa wazenji mwisho wa siku watamkumbuka HOUR Maalim seif ndio atakimaliza chama cha Cuf kama anavyotekeleza ilani ya CCm
 
Muunguja hawezi akamuheshimu Mpemba hata siku moja. Vile vile Wapemba hawawapendi Waunguja. Ndiyo maana wengine tunasema kuwa hii nchi ya Zanzibar haiwezi ikatawalika ikiwa ni nchi Zanzibar. Ni lazima liwepo taifa lingine kubwa la kuwachunga hawa wasiuane.

Zamani taifa hilo kubwa lilikuwa Wakoloni UK, leo hii ni Muungao URT. Seif, Jussa na wote waliosahau ukweli wa siasa na Hizbu wachunge sana wanachojaribu kufanya. Litawageukia na itakuwa ni too late, labda Tanzania bara itawaokoa tena.

uchaguzi wa visiwani uliopita ni kuwa sefu alishinda. Ili kuepusha cuf kutawala huko visiwani, jussa alitumika kumrubuni sefu kukubali umakamu wa rais, hasa ikitegemea kuwa rais nae anatoka pemba. Sasa nauliza, ina maana wapemba ni wengi kuliko waunguja? Wapemba na waunguja kwa umoja wao walimchagua sefu kuwa rais wao. Hao polisi watakuwa mamluki tu
 
Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?

unatakiwa kumuulisa maalim seif kwanini hakupigiwa salute, kwani anajua yeye pale ni kivuli tu
 
Muafaka wa CUF na CCM unanikumbusha sana muafaka wa ZPPP na ZNP, tofauti moja tu safari hii CUF wamewazunguka wananchi wake wenyewe na watu wamejua lilikuwa swala la Kipemba na mafuta..Seif hawezi heshimika tena maana CCM hata wakiwa usingizini hawawezi kusahau kwamba Seif ni nyoka aliyevunjwa meno na wataendelea kumvunja meno kuhakikisha wanacheza naye ngoma ya kisukuma!
 
Naona munapiga makelele bora niwasaidie jibu. Jibu halisi ni kwamba; Hayatambui Mapinduzi ya 1964 kwa msimamo sawa na wanavyoyatambua viongozi wa CCM. Kwa maelezo zaidi kitafte kitabu cha Dr. Harith Ghassany "Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru"! Leo nakusaidia ila siku ya nyengine usilete mada kama hizi.

Zile pumba za Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru ni kwa nyie mnajiona waarabu ama kama mnavyojiita "waafroarabia" mapinduzi yatadumu na mwarabu harudi kutawala Unguja!

Chama
Gongo la Mboto DSM.
 
Back
Top Bottom