Ajabu: Balozi Seif Iddi apigiwa Saluti na Heshima zote na majeshi, Seif Shariff wampa Mkono

Yakhe, ndugu zangu wa hapa JF na CHADEMA kwa ujumla nyinyi sio wa mwanzo kujenga chuki dhidi ya Maalim Seif na pia Wazanzibari, wamepita wengi tu zaidi yenu ila wameshindwa!! Mfupa uliomshinda fisi kuula nyinyi munajaribu kutaka kuumeza mzima mzima! Hatari hiyo musije kujaribu. Am proud to be Zanzibari, Zanzibar Daimaaaaaa Mbele.
Wewe ni mpumbavu wa kutupwa, tena hufai kwa lolote jema, Kwani ulifanya jitihada au juhudi gani kuzaliwa Zanziba mpaka ujivunie kuwa mzanzibari? wacha umakalio wako wewe kenge usiye thamani!
 
Hii ndiyo dhambi ya kudharau mahakama, safi sana askari endeleen kumdharau huyo seif mwenye mwelekeo wa kisultanisulutani
 
Wewe ni mpumbavu wa kutupwa, tena hufai kwa lolote jema, Kwani ulifanya jitihada au juhudi gani kuzaliwa Zanziba mpaka ujivunie kuwa mzanzibari? wacha umakalio wako wewe kenge usiye thamani!

AM PROUD TO BE ZANZIBARI, ZANZIBAR DAIMAAAA MBELEEEE... Mkuu sindano kali sana hii na hua inawaumiza wengi sana lakini kuwa mstahamilivu!
 
Nyinyi ni vichekesho sana. Aliyepigiwa salutui na kukaguwa gwaride la heshima alikuwa ni Raisi wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Schein. Maalim Sief amepowa kabisa wala balozi Sefu Iddi hakupigiwa saluti hizo ni ndoto za Ali nachu. Hhahahah, Kama hamujui zanzibar walioko juu ni wapemba tena ni wazanzibari kweli kweli wenye imani na nchi yao. Ulimsikia Rais wa zanzibar akisema "amani utulivu na maendeleo yamepatikana kwa sababu ya mashirikiano yetu hahah mutaumwa sana mwaka huu maana hiyo katiba yenu sisi hatuitaki tutawarudishia kwenu. Wazanzibari wanata "REFERENDUM" kuhusu muungano basi. Hatuna haja ya katiba sisi tuna katiba yetu. Nyinyi watanganyika ni fitina tu munazoendesha tumechoshwa nazo.
 
Back
Top Bottom