Ajabu: Balozi Seif Iddi apigiwa Saluti na Heshima zote na majeshi, Seif Shariff wampa Mkono

majeshi yale yamvunja katiba,

maalim seif sharif hamad ndio amevunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kukubali wadhifa ambao haupo na wala hautambuliki ndani ya katiba ya jamhuri na kwa kuwa yale majeshi ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania hivyo hayamtambui, na wadhifa wake hauko ndani ya orodha ya kustahili kupewa heshima hiyo na majeshi hayo! hata huyo balozi seif ali idi hakustahili kupewa heshima hiyo.
 
Mkandara
Kitabu nimekisoma upuuzi mtupu, mtunzi inaeleweka wazi adhma yake ni hizbu mkubwa; pumba tupu lengo ni kumpaka matope mwl. Nyerere eti ndiye aliyekuwa kinara wa mapinduzi, dhana nzima ni kutaka kufanya waunguja waliupenda utawala wa kiarabu; kama unataka kusoma porojo za alinacha kitafute.

Chama
Gongo la Mboto DSM.

Kimetoka lini wakati niliagiza wakanambia kitatoka karibuni?.. nimeona tu cover ya kitabu kitakavyokuwa.. kinapatikana maktaba gani?..Huna sababu ya kutoamini ya Harith kwa sababu utumwa jadi.. Zidumu fikra za Sultan alowapaka chokaa mama zenu ati walikuwa wanatisha kwa weusi hivyo weupe wa chokaa unawapa nuru kidogo...

Ukiona mbwa anaugulia maumivu ujue jiwe limempata kisawa sawa!!
 
Yakhe, ndugu zangu wa hapa JF na CHADEMA kwa ujumla nyinyi sio wa mwanzo kujenga chuki dhidi ya Maalim Seif na pia Wazanzibari, wamepita wengi tu zaidi yenu ila wameshindwa!! Mfupa uliomshinda fisi kuula nyinyi munajaribu kutaka kuumeza mzima mzima! Hatari hiyo musije kujaribu. Am proud to be Zanzibari, Zanzibar Daimaaaaaa Mbele.

Seif ni kama Boya pale.
 
nilikuwa nikiangalia tv sherehe za mapinduzi.
Wakati wa kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na polisi, shein,jk,bilali walipigiwa saluti ya heshima.
Mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama saluti, makamo wa pili wa rais wa zanzibar naye alipigiwa saluti ya nguvu.
Jee imekaaje ktk siasa zetu. Jee maalim seif hatakiwi na vyombo vyetu vya usalama?

labda blinking eyes ilisababisha usione akipigiwa salute. Mtu huanza kupigiwa salute, naada ya hapo unaweza kupeana naye mkono, salamu ya kizalendo
 
Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?

Hao waliopigiwa salute na kupewa heshima zote na majeshi itawasaidia nini hiyo salute mbele na Mungu na huyo ambaye hakupigiwa atakosa nini mbele ya Mungu!
 
Nilikuwa nikiangalia TV sherehe za Mapinduzi.
Wakati wa Kutoka uwanjani, kabla ya kupanda gari kuna makamanda wa jeshi na Polisi, Shein,JK,Bilali walipigiwa Saluti ya heshima.
mara baada ya kuondoka hao, ilkuwa zamu ya Maalim seif, kwa bahati majeshi na polisi waliokuwepo hapo walimpa tu mkono tena baada ya maalim kutoa mkono na hakuna alienyanyua mkono kama Saluti, Makamo wa Pili wa Rais wa ZANZIBAR naye alipigiwa saluti ya nguvu.
jee imekaaje ktk Siasa zetu. jee maalim seif hatakiwi na Vyombo vyetu vya usalama?

Huyu ni kama Housboy kwa Balozi Seif Idd na Dr Shein....nothing good from him.
 
kwali hata mimi nimeona, wale jamaa baada ya kutoka maalim Seif majeshi waliokuwa wanatoa saluti kwa viongozi, kufika maalim waliuchuna na wakajifanya kama seif sio kiongozi. lkn balozi Alipigiwa masaluti mpaka basi tu.
Ina maana jeshi Ni chichieem?!! Ila nina lowest kusema Ni kwamba maalim seif alikurupuka kuingia makubaliano na ccm ya serikali ya pamoja........makubaliano Yale yalizingwa zaidi na tamaa ya ving'ora anavyovipata sasahv lakini kimaslahi hakuna kitu pale especially kwa cuf Kama chama.
 
Mwaka huu hakukuwa na mgao wa piriton?

jb02gj.jpg
 
Ukweli ni kwamba huo umakamu wa pili aliopewa Maalim Seif ni ceremonial kama alivyopewa Lyatonga mrema na Alhaji Mwinyi Naibu Waziri mkuu.

Maalim Seif alikubali kuwasaliti CUF kwa vipande vitatu vya dinari. Read Maalim Seif alikubali kuuza Ushindi wa CUF wa kiti cha u-Rais wa SMZ kwa dinari tatu (umakamu wa kwanza Rais wa SMZ).

Ndiyo maana Shein akisafiri anaye kaimu ni Second VP, Balozi Seif, kama Second VP naye hayupo, anaye kaimu ni Spika wa baraza la wawakilishi. Mpaka hapo bado CUF na Maalim hawaoni kwamba hicho cheo ni boya! Sasa ngoja Maalim avuliwe chupi mbele ya hadhara kwasababu ya njaa zake, na bado Mahakama kuu itampeleke segerera kunyea kidebe kwa kuidharau (Ref HR kesi) maana huku serikali ya JMT haitambui hilo boya la first VP of SMZ.
 
Huyu ni kama Housboy kwa Balozi Seif Idd na Dr Shein....nothing good from him.

mambo ya Zanzibar hayakuhusu au ndio mumepatwa na kiwewe kwa kuwaona Wazanzibari wameungana! Chakuzingatia zaidi ni kwamba Maalim Seif ni SHUJAA katika siasa za Tanganyika sio kama Slaa ambaye hua anajificha katika Speaker hata inapotokezea Vurumai ndogo tu!!!! Yaani lile Chezo naliona machoni, utadhani watoto wanacheza michezo ya kitoto! Aiseee ile move ilikua kali.
 
Huu mchezo wa Hamadi Rashid nyinyi munatakiwa muuangalie tuu, kama hamuna habari hapo pana bomu wametegwa Watanganyika na siku Wazanzibar wanapotega mabomu Watanganyika hawana historia ya kuwakosa, na hapa Hamad Rashid tumeamua kumtoa muhanga. Katika kadhia hii angalieni sana utatanishi uliopo katika vitu vitatu: MUUNGANO, KATIBA, VIPENGELE VYA SHERIA ZA KIMAHAKAMA. Nadhani wenye macho 'yanayoona' watakua wameshafahamu. Where is Tanganyika, Zanzibar Daimaaaa mbeleeeee.
 
Ukweli ni kwamba huo umakamu wa pili aliopewa Maalim Seif ni ceremonial kama alivyopewa Lyatonga mrema na Alhaji Mwinyi Naibu Waziri mkuu.

Maalim Seif alikubali kuwasaliti CUF kwa vipande vitatu vya dinari. Read Maalim Seif alikubali kuuza Ushindi wa CUF wa kiti cha u-Rais wa SMZ kwa dinari tatu (umakamu wa kwanza Rais wa SMZ).

Ndiyo maana Shein akisafiri anaye kaimu ni Second VP, Balozi Seif, kama Second VP naye hayupo, anaye kaimu ni Spika wa baraza la wawakilishi. Mpaka hapo bado CUF na Maalim hawaoni kwamba hicho cheo ni boya! Sasa ngoja Maalim avuliwe chupi mbele ya hadhara kwasababu ya njaa zake, na bado Mahakama kuu itampeleke segerera kunyea kidebe kwa kuidharau (Ref HR kesi) maana huku serikali ya JMT haitambui hilo boya la first VP of SMZ.

Ndio maana HR alipotaka kuwatoa tongotongo wanataka kumnyamazisha,Hiyo serikali ya kitaifa sidhani kama ina msaada mkubwa kwa wanaCUF kama ilivyo kwa wanaCCM..Naomba uzima ili nizione kampeni za CUF za Urais 2015..
 
Muunguja hawezi akamuheshimu Mpemba hata siku moja. Vile vile Wapemba hawawapendi Waunguja. Ndiyo maana wengine tunasema kuwa hii nchi ya Zanzibar haiwezi ikatawalika ikiwa ni nchi Zanzibar. Ni lazima liwepo taifa lingine kubwa la kuwachunga hawa wasiuane.

Zamani taifa hilo kubwa lilikuwa Wakoloni UK, leo hii ni Muungao URT. Seif, Jussa na wote waliosahau ukweli wa siasa na Hizbu wachunge sana wanachojaribu kufanya. Litawageukia na itakuwa ni too late, labda Tanzania bara itawaokoa tena.

Dk Shein mbona ni MPEMBA?
Hii ni kashfa, na ingetosha hata kuifanya CUF kujiengua kutoka kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa ili kulinda heshima kwa kamii. Inaonyesha kuwa Maalim Seif haheshimiki kama kiongozi.
 
Ndio maana HR alipotaka kuwatoa tongotongo wanataka kumnyamazisha,Hiyo serikali ya kitaifa sidhani kama ina msaada mkubwa kwa wanaCUF kama ilivyo kwa wanaCCM..Naomba uzima ili nizione kampeni za CUF za Urais 2015..

Cheo cha kuhongwa ndio stahili zake

Kumbekeni kwamba Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar imekuwepo kutokana 63% ya Wazanzibar kwa hiari zao waliamua kupiga kura na kuuchagua mfumo huu. Sasa hizo hadithi nyengine hua munazileta nyinyi kutokana na chuki zenu dhidi ya Wazanzibari juu ya kitendo cha cha kuamua kuwa wamoja na nyinyi Wadanganyika hamukua munapenda iwe hivi!!
 
Hiyo kura ya maoni si ilisimamiwa na kuendeshwa na ZEC?!

Kwa ujinga wako huo ndiyo maana unaamini kuwa Dr. Shein alishinda kwa kura 52% dhidi ya 48% za Maaim Seif.
Endeleea kuiamini ZEC, utakapofunguka akili it will be too late.
 
au za Bi kidude, Khadija Kopa, Mzee Yusuph, au Husna wa kanga mbendembende wanavyoenda msikitini kumswalia Marehemu Allah aka Mtume Mha-Mad

us
iwe mjinga!!! kosa la mtu 1,huna haki ya kutukana umati!!au ndio unaonesha unachuki na uislam mambo hayo wacha ujinga yameshapitwa na wakati!
 
Back
Top Bottom