Watoto pori w'end hii mmecharuka hasa sijui muda wa kuchunga ng'ombe na kupalilia mikorosho mnaupata saa ngapi kutwa mnatunanga hapa JF mmechukua tabia za dada zenu sasa.
Ila tukija mikoani mnaufyata vibaya mno kazi yenu kubwa ni ukuwadi kutulazimisha tuwatafune dada zenu utawasikia "Uyu anaitwa Mack katoka Dar amekuja kikazi mara 1" hapo hawapindui analiwa free kaka mtu anaambulia bia kadhaa kipindi kinajifunga ila kwenye keyboard mnajifanya mashujaa
Kama alizinunulia hapo njiani unajuaje?? Ukaenda kabisa kabisa kuzihesabu?? Ilikuwaje?? Kama alizianika huenda anatumiaga kwa muda ndo afue na siku anaondoka ndo ilikuwa ya kufua