kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiii,ungeonekana unatega kazi mwisho ungefukuzwaMama weeee mbona kila saa ningekuwa nipo huko
kwikwikwiiiiiiiiiiiiiiii,ungeonekana unatega kazi mwisho ungefukuzwa
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,raha kuziona tu au utakuwa unazikwiba na kuzifanyia umaigresheni..lol!Basi usiku wa manane ningekesha huko
Hahaha mke wewe ungehamisha na godoro kabisaa..
Haha utakuwa mchaga wewe siyo buree