Aisee...........

watu wairinga na songea wangesema duh bongii gutairi

Mkuu Lumanyisa ubuheri ? hapo nataka kuelewa neno bongii inatokana na "bonge" yaani kubwa ? au BONGE ndiyo BONGII
kibantu? very nice combination kiswahili ni kitamu!!
 
Mkuu Lumanyisa ubuheri ? hapo nataka kuelewa neno bongii inatokana na "bonge" yaani kubwa ? au BONGE ndiyo BONGII
kibantu? very nice combination kiswahili ni kitamu!!

ndo hivyo bongii ni bonge.yaani huwa nacheka nikiwasikia mpaka basi then kwenye kuonyesha ukubwa wanaweka "gu" kwenye udogo wanaweka "tu" tupipi tudogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…