Aisee...!?.?

Aisee...!?.?

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Je, ukimfumaniwa dada yako kwenye kona akibambiwa. Utachukua uamuzi gani?.

Mimi binafsi.
Nitakimbia sana, sitapenda hata wajue kuwa nimewaona ili tuzidi kuheshimiana.
 
mi dada yangu nilikuwa namlinda sana baadaye nikamchoka,cha kutakiwa unamweleza tu ukweli wa mambo na madhara yake,
ila maamuzi mwachie yeye
 
Unataka Umfisadi mpk dadayo? Pelekesha mawazo yako huko! Kweli hawa watumwa wa mafisadi ni vilaza,mpk kwa dada zao,mtawakosa hata mashemeji. JIREKEBISHENI!
 
mi dada yangu nilikuwa namlinda sana baadaye nikamchoka,cha kutakiwa unamweleza tu ukweli wa mambo na madhara yake,
ila maamuzi mwachie yeye

Wewe Dogo! Haramu yako ni halali yangu! Unamlinda!
 
Unataka Umfisadi mpk dadayo? Pelekesha mawazo yako huko! Kweli hawa watumwa wa mafisadi ni vilaza,mpk kwa dada zao,mtawakosa hata mashemeji. JIREKEBISHENI!

hapa swala sio kumlinda. Wewe umkute amebanwa kwenye kona utafurahia.
 
mi dada yangu nilikuwa namlinda sana baadaye nikamchoka,cha kutakiwa unamweleza tu ukweli wa mambo na madhara yake,
ila maamuzi mwachie yeye

umeshamfuma sasa. Utapenda atambue kuwa umewaona au utajificha.
 
kwa sisi tunaoishi uswahilini. Kwenye chochoro.
Nitampandishia kibesi na nitamwambia nampa miezi miwili awe kashaleta posa,vinginevyo nikiwagumia tena watakwenda kuchekea chooni. Nalog off
 
Je, ukimfumaniwa dada yako kwenye kona akibambiwa. Utachukua uamuzi gani?.

Mimi binafsi.
Nitakimbia sana, sitapenda hata wajue kuwa nimewaona ili tuzidi kuheshimiana.
Nitafurahi sana, nitajua kumbe dada yangu nae mzuri?
 
Mini ningeenda kuwasalimia na kumuomba huyo shemeji asije akamtosa dada, na ningemshauri tu aje nyumbani kujitambulisha ili wawe huru.........................
 
kila mwenye dada hakosi shemeji.

Hutaki dada yako abambiwe ili iweje?
 
lazima nipige au nipigwe mangumu ya usoni na ngwala a.k.a mitama miiiiingi.
 
Back
Top Bottom