Aisee wanyakyusa shkamoo....!!!

Hahahaha vyuma vimekaza hatarii, hao watakuwa wapare....

Ila kuliko kutumia gharama kuwasha gari ili iminye dawa ya meno bora kutumia mkaa au chumvi mradi usukutue sana ili usiwe na harufu mdomoni.

Ever Smiling Kasie.
 
Hahahaha vyuma vimekaza hatarii, hao watakuwa wapare....

Ila kuliko kutumia gharama kuwasha gari ili iminye dawa ya meno bora kutumia mkaa au chumvi mradi usikutue sana ili usiwe na harufu mdomoni.

Ever Smiling Kasie.
Hahaha, point
 
Utafunumuka marinda

Alalaye usimwamshe. ...... ukimwamsha utalala wewee, shauri yako labda tuu nikutahadharishe kuanzia sasa hivi uhakikishe kila dakika mkono wako uwe unakagua kama rinda lako lipo hata ukilala mkono wako usibanduke nyuma laa sivyo ukizubaa tuu ukijastuka kukuu yuleee hadija yuleee kila kitu wazi loki zote zimeachia.

Usijesema sikukutahadharisha.

Ever Smiling Kasie.
 
Hahahaha vyuma vimekaza hatarii, hao watakuwa wapare....

Ila kuliko kutumia gharama kuwasha gari ili iminye dawa ya meno bora kutumia mkaa au chumvi mradi usukutue sana ili usiwe na harufu mdomoni.

Ever Smiling Kasie.
Ah ah ah ah ah ah Usipende Sana kuwachokoza Wakwe Zako
 
Hahahaha vyuma vimekaza hatarii, hao watakuwa wapare....

Ila kuliko kutumia gharama kuwasha gari ili iminye dawa ya meno bora kutumia mkaa au chumvi mradi usukutue sana ili usiwe na harufu mdomoni.

Ever Smiling Kasie.

du! haya bwana!!!
 
Duuh hii hatari sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…