Aisee wanyakyusa shkamoo....!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,523
Screenshot_2018-01-04-12-58-55-1.png
 
Hahahaha vyuma vimekaza hatarii, hao watakuwa wapare....

Ila kuliko kutumia gharama kuwasha gari ili iminye dawa ya meno bora kutumia mkaa au chumvi mradi usukutue sana ili usiwe na harufu mdomoni.

Ever Smiling Kasie.
 
Utafunumuka marinda

Alalaye usimwamshe. ...... ukimwamsha utalala wewee, shauri yako labda tuu nikutahadharishe kuanzia sasa hivi uhakikishe kila dakika mkono wako uwe unakagua kama rinda lako lipo hata ukilala mkono wako usibanduke nyuma laa sivyo ukizubaa tuu ukijastuka kukuu yuleee hadija yuleee kila kitu wazi loki zote zimeachia.

Usijesema sikukutahadharisha.

Ah ah ah ah ah ah Usipende Sana kuwachokoza Wakwe Zako
 
Alalaye usimwamshe. ...... ukimwamsha utalala wewee, shauri yako labda tuu nikutahadharishe kuanzia sasa hivi uhakikishe kila dakika mkono wako uwe unakagua kama rinda lako lipo hata ukilala mkono wako usibanduke nyuma laa sivyo ukizubaa tuu ukijastuka kukuu yuleee hadija yuleee kila kitu wazi loki zote zimeachia.

Usijesema sikukutahadharisha.

Ever Smiling Kasie.
Duuh hii hatari sana
 
Back
Top Bottom