Aisee wanawake ni wengi sana!

Aisee wanawake ni wengi sana!

Yaani Ni Patashika nguo kuchanika,

Wengine mahaba Yao wamehamishia kwenye kubeti na timu za mipira

Hawa nao Sijui tuwaweke kundi gan[emoji1787]
JamiiForums1228775356.jpg


Sent using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wewe huna hela,acha kulialia.

Kama ungekua nazo hakuna tym ya kuwaza huyu wa 2000,huyu ana 30..
Tafuta hela
 
Back
Top Bottom