Aisee wanawake ni wengi sana!

Aisee wanawake ni wengi sana!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,650
Reaction score
81,555
Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.

Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.

Kijana kataa ndoa maana wanwake wenye miaka 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka ya 2000s it pains na inafikirisha.

Mtatuita majina yote.
 
Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.

Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.

Kijana kataa ndoa maana wanwake wa 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka 2000, it pains na inafikirisha.

Mtatuita majina yote.
Kwanza umekunywa chai?
 
1b465d3a-fee6-43a6-88fa-2a46a227169e.jpg
 
Tuache kujidanganya hawa watoto wa 2000 wapo mtaani tani kwa tani.

Aisee kwa huu muda unachagua mwenyewe unywe kinywaji gani; Balimi au Safari Lager au Castlel au K Vant.

Kijana kataa ndoa maana wanwake wa 30 wanataka ligi na watoto wadogo wa miaka 2000, it pains na inafikirisha.

Mtatuita majina yote.
wewe si ndio unajifanya penseli yako itaki kichongeo.ukifa tunakuwekea gunzi sehemu ya aja
 
Back
Top Bottom