Mhaya gani ataongea Kiingereza uchwara hivyo? Crucial engineer ni nini? Umetunga wewe unawasingizia wahaya. Kabila lako je, MNA sifa gani au hata kulitaja unaona aibu?
Ukisikiaa maweeeee! Ujue jiwe la gizani limempata mhusika .
Ila kuna asilimia fulani sisi wahaya tunatabia hizi
Lakini watu kiasi fulani wamejitahidi kubadilika sana siku hizi , tabia hizi za majivuno zimepungua kwa kiasi fulani siku hizi[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]