Aisee wadogo zetu jobless graduates wanapitia magumu mno

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Jambo Tanzania!

Hawa wadogo zetu waliomaliza hasa kuanzia mwaka 2015 kuja juu, wana hali mbaya sana. Siyo ya kiuchumi, hata ya kihisia.

Naona hali halisi na nina baadhi nawafahamu kwa mbali, wanapitia kipindi kigumu sana cha msongo wa mawazo.

Mitaani wanakoishi wamegeuka kuwa 'topic' na watu wa kutolewa mifano. Wazazi wanawaonya watoto wao na kuwaingiza graduates kwenye mazungumzo yao.

Watoto wanakataa shule kwa kuwanyooshea vidole gradautes, kuwa kusoma ni kupoteza muda.

So sad!

Kubwa zaidi ni hili, kipindi hiki kila mtu hata yule ambaye hajasoma na anabangaiza maisha kama wewe, naye anajifanya kukupa ushauri na kukukalisha chini.

Mbaya zaidi anasahau ya kwake yeye, anaingilia na yako. Kipindi hiki hata mtoto mdogo tu kuliko wewe anakukalisha na kukupa ushauri wa maisha, mtoto ambaye alitakiwa achukue ushauri kutoka kwako.

So sad!

Hakuna kipindi unachotakiwa kuwa na roho ngumu kama hiki. Kaka zenu tuliwahi kupitia huko back in years ila mambo yakakaa sawa.

Ukweli ni kwamba, hakuna aliye kwa ajili yako graduate. Kuanzia primary school, secondary, high school, mpaka chuo, kote huko wakufunzi walikudanganya sana.

Kila mmoja yupo kwa ajili ya familia yake na walio wa kwao, wakufunzi wakakuficha hili. Wao wakakuambia tu soma uwe mara daktari, mara rubani, mara mhasibu, na kadhalika.

Sasa hujachelewa, futa mentality hiyo ya hapo juu. Jitenge na watu unaofanana nao, jitenge na walala hoi wasio na future mbeleni, na ujitenge na wale ambao wanabangaiza kama wewe ila wanajifanya kukushauri kuhusu maisha huku wakikucheka kisiri siri.

Kaa na watu potential, jipendekeze kwa tija, kaa kwa tija. Kama ni kuzurura basi zurura mitaa potential ambayo utakutana na watu potential. Unazurura Kimara, sijui Tandale mara Buza ili upate nini?

Nenda bandarini, nenda Mikocheni, nenda Masaki, Msasani, nenda Posta nk.

Ukitaka kunukia, kaa karibu na uwaridi.

Yangu ni hayo wadogo zangu. La mwisho, usidhani kuna watu wanasikitika kuhusu hali yako, hakuna. Kama wapo basi ni wazazi wako na ndugu wachache wa damu, BASI.

Watu wanafurahi na wanapenda kukuona ukiwa hivyo hivyo jobless, mchafu mchafu, huna ramani, hueleweki, hujiamini, na hupigi hatua yoyote. Huo ndiyo ukweli wa maisha.

Atakayekuwa bega kwa bega nawe kwa wakati huu, ukipata kivuli usije kufanya blunders na kumsahau.

Aluta continua!

Endeleeni kunywa mtori nyama zipo chini.
 
Mkuu umeongea ukweli ambao upo katika jamii zetu. Madogo wanachangamoto kweli lakini nao kuvimba kuna wapoteza sana.

Kuna dogo nilimuomba kwakua hana ajira bado basi aje tusaidiane harakati kwa kipindi kifupi tu cha mitihani ya 4m4 dogo kaja ofisini siku ya kwanza nikamtuma apeleke mzigo nikampa nauli hela ya kula na jioni aliporudi nikampa 10k kwamba asiende home mikono mitupu chaajabu dogo siku ya pili hajaja namcheki ananiambia posho ndogo basi nikacheka nikapotezea tu hebu imagine mtu anakupa nauli hela ya kula mchana na 10k alaf mzigo wenyewe hauzidi 20kg unafikisha unasaini delivery unageuka haina kujieleza wala nn.

Cha ajabu ukipita maskani wanabaki kukusema yule jamaa nati kweli hela yake haitoki muda mwingine unapita wanakusimamisha kabisa mkuu tuungie vijana wako sasa unaamua kumuungia mmoja wao nae anachomoa kama hivyo sijui niwapi nakosea ila vijana wa sasa naamini wanakosea zaidi yangu
 
Jambo Tanzania!

Hawa wadogo zetu waliomaliza hasa kuanzia mwaka 2015 kuja juu, wana hali mbaya sana. Siyo ya kiuchumi, hata ya kihisia.

Naona hali halisi na nina baadhi nawafahamu kwa mbali, wanapitia kipindi kigumu sana cha msongo wa mawazo.

Mitaani wanakoishi wamegeuka kuwa 'topic' na watu wa kutolewa mifano. Wazazi wanawaonya watoto wao na kuwaingiza graduates kwenye mazungumzo yao.

Watoto wanakataa shule kwa kuwanyooshea vidole gradautes, kuwa kusoma ni kupoteza muda.

So sad!

Kubwa zaidi ni hili, kipindi hiki kila mtu hata yule ambaye hajasoma na anabangaiza maisha kama wewe, naye anajifanya kukupa ushauri na kukukalisha chini.

Mbaya zaidi anasahau ya kwake yeye, anaingilia na yako. Kipindi hiki hata mtoto mdogo tu kuliko wewe anakukalisha na kukupa ushauri wa maisha, mtoto ambaye alitakiwa achukue ushauri kutoka kwako.

So sad!

Hakuna kipindi unachotakiwa kuwa na roho ngumu kama hiki. Kaka zenu tuliwahi kupitia huko back in years ila mambo yakakaa sawa.

Ukweli ni kwamba, hakuna aliye kwa ajili yako graduate. Kuanzia primary school, secondary, high school, mpaka chuo, kote huko wakufunzi walikudanganya sana.

Kila mmoja yupo kwa ajili ya familia yake na walio wa kwao, wakufunzi wakakuficha hili. Wao wakakuambia tu soma uwe mara daktari, mara rubani, mara mhasibu, na kadhalika.

Sasa hujachelewa, futa mentality hiyo ya hapo juu. Jitenge na watu unaofanana nao, jitenge na walala hoi wasio na future mbeleni, na ujitenge na wale ambao wanabangaiza kama wewe ila wanajifanya kukushauri kuhusu maisha huku wakikucheka kisiri siri.

Kaa na watu potential, jipendekeze kwa tija, kaa kwa tija. Kama ni kuzurura basi zurura mitaa potential ambayo utakutana na watu potential. Unazurura Kimara, sijui Tandale mara Buza ili upate nini?

Nenda bandarini, nenda Mikocheni, nenda Masaki, Msasani, nenda Posta nk.

Ukitaka kunukia, kaa karibu na uwaridi.

Yangu ni hayo wadogo zangu. La mwisho, usidhani kuna watu wanasikitika kuhusu hali yako, hakuna. Kama wapo basi ni wazazi wako na ndugu wachache wa damu, BASI.

Watu wanafurahi na wanapenda kukuona ukiwa hivyo hivyo jobless, mchafu mchafu, huna ramani, hueleweki, hujiamini, na hupigi hatua yoyote. Huo ndiyo ukweli wa maisha.

Atakayekuwa bega kwa bega nawe kwa wakati huu, ukipata kivuli usije kufanya blunders na kumsahau.

Aluta continua!

Endeleeni kunywa mtori nyama zipo chini.
Dunia bila stress ni kama upo futi 6 ardhini mahala pema peponi...dunia bila stress inaboa.
 
Jambo Tanzania!

Hawa wadogo zetu waliomaliza hasa kuanzia mwaka 2015 kuja juu, wana hali mbaya sana. Siyo ya kiuchumi, hata ya kihisia.
Emotional intelligence needed
Naona hali halisi na nina baadhi nawafahamu kwa mbali, wanapitia kipindi kigumu sana cha msongo wa mawazo.
Msongo real mpaka unakonda mtu
Mitaani wanakoishi wamegeuka kuwa 'topic' na watu wa kutolewa mifano. Wazazi wanawaonya watoto wao na kuwaingiza graduates kwenye mazungumzo yao.

Watoto wanakataa shule kwa kuwanyooshea vidole gradautes, kuwa kusoma ni kupoteza muda.
Huu ni aina ya ukatili wa wasiosoma zidi ya wasomi wanaopitia magumu mtaani mpaka sehemu za kazi, nimeiona Sana hii mtaani Kuna baadhi ya watu wanapenda kuanzisha mada za ajira hili kufanyia Mocking graduates, sehemu za kazi pia hivyohivyo.
So sad!

Kubwa zaidi ni hili, kipindi hiki kila mtu hata yule ambaye hajasoma na anabangaiza maisha kama wewe, naye anajifanya kukupa ushauri na kukukalisha chini.

Mbaya zaidi anasahau ya kwake yeye, anaingilia na yako. Kipindi hiki hata mtoto mdogo tu kuliko wewe anakukalisha na kukupa ushauri wa maisha, mtoto ambaye alitakiwa achukue ushauri kutoka kwako.

So sad!

Hakuna kipindi unachotakiwa kuwa na roho ngumu kama hiki. Kaka zenu tuliwahi kupitia huko back in years ila mambo yakakaa sawa.

Ukweli ni kwamba, hakuna aliye kwa ajili yako graduate. Kuanzia primary school, secondary, high school, mpaka chuo, kote huko wakufunzi walikudanganya sana.

Kila mmoja yupo kwa ajili ya familia yake na walio wa kwao, wakufunzi wakakuficha hili. Wao wakakuambia tu soma uwe mara daktari, mara rubani, mara mhasibu, na kadhalika.
....
Sasa hujachelewa, futa mentality hiyo ya hapo juu. Jitenge na watu unaofanana nao, jitenge na walala hoi wasio na future mbeleni, na ujitenge na wale ambao wanabangaiza kama wewe ila wanajifanya kukushauri kuhusu maisha huku wakikucheka kisiri siri.
Yes, hii ni njia Bora zaidi
Kaa na watu potential, jipendekeze kwa tija, kaa kwa tija. Kama ni kuzurura basi zurura mitaa potential ambayo utakutana na watu potential. Unazurura Kimara, sijui Tandale mara Buza ili upate nini?

Nenda bandarini, nenda Mikocheni, nenda Masaki, Msasani, nenda Posta nk.
😂😂 Hii sio rahisi mzee kutoka sehemu A to B unahitaji pesa mzee, ila pia kutembea maeneo hayo haikifanyi ku-meet na watu wa maeneo hayo mimi kilasiku nipo sehemu potential sana nikitembea kilamtu na kukaa sehemu kilamtu na habari zake
Ukitaka kunukia, kaa karibu na uwaridi.

Yangu ni hayo wadogo zangu. La mwisho, usidhani kuna watu wanasikitika kuhusu hali yako, hakuna. Kama wapo basi ni wazazi wako na ndugu wachache wa damu, BASI.

Watu wanafurahi na wanapenda kukuona ukiwa hivyo hivyo jobless, mchafu mchafu, huna ramani, hueleweki, hujiamini, na hupigi hatua yoyote. Huo ndiyo ukweli wa maisha.
Kisaikolojia binadamu anapenda kumuona mwengine anateseka hata wewe na Mimi, mfano ukiona status mtu kaandika "Maisha magumu kwangu nimekata tamaa" hio ita pimp tofauti kwako na utamuonesha mpaka wa pembeni yako na ukiona jamaa kaweka status tu unakimbilia kufungua 😀 this is psychological tips
Atakayekuwa bega kwa bega nawe kwa wakati huu, ukipata kivuli usije kufanya blunders na kumsahau.
....
Aluta continua!

Endeleeni kunywa mtori nyama zipo chini
U jobless mbaya sana hapa sina hata mia na sijui baadae nakula nini na kesho inabidi niwe na nauri ya kuenda mzigoni kumpiga mtu kizinga jau Mungu tu.
 
Mkuu umeongea ukweli ambao upo katika jamii zetu. Madogo wanachangamoto kweli lakini nao kuvimba kuna wapoteza sana.
Kuna dogo nilimuomba kwakua hana ajira bado basi aje tusaidiane harakati kwa kipindi kifupi tu cha mitihani ya 4m4 dogo kaja ofisini siku ya kwanza nikamtuma apeleke mzigo nikampa nauli hela ya kula na jioni aliporudi nikampa 10k kwamba asiende home mikono mitupu chaajabu dogo siku ya pili hajaja namcheki ananiambia posho ndogo basi nikacheka nikapotezea tu hebu imagine mtu anakupa nauli hela ya kula mchana na 10k alaf mzigo wenyewe hauzidi 20kg unafikisha unasaini delivery unageuka haina kujieleza wala nn. Cha ajabu ukipita maskani wanabaki kukusema yule jamaa nati kweli hela yake haitoki muda mwingine unapita wanakusimamisha kabisa mkuu tuungie vijana wako sasa unaamua kumuungia mmoja wao nae anachomoa kama hivyo sijui niwapi nakosea ila vijana wa sasa naamini wanakosea zaidi yangu
Kwamba wengi hawapendi kujishusha? Inaweza kuwa kweli ila wengi hata hizo bahati za kazi kama hiyo uliyompa dogo hawana. Hali imekuwa ni too much. Ukiona mpaka mstaafu JK anaonya, basi mambo yaneharibika sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom