Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

Aisee Ushuhuda wa macho unauma sana jamani!

BOMBAY

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
4,744
Reaction score
3,544
Habari wana jf,hapa nilipo nipo hoi kwa maumivu yakutendwa! Nibaada yakuwa mbali na maumivu haya kwa takriban mwaka na nusu hatimae leo nimefumania girl wangu akiwa katik pozi za kimahaba akitoka guest na mshikaji mwingine,aisee nilikua shocked sana but nilivumilia ili nione mwisho wao.

Hatimae wametokomea nakuniacha nikiwa nimechanganyikiwa.Nimempigia simu kumuuliza ananiambia sababu nimm coz tulikwaruzana kidogo nikamwambia nimetafuta girl mwingine anaenijali ndo akaamua kumtafuta huyo.

Mh!within two days tayari kishapata mbadala wangu!

Naumia sana na kwasasa nafikiri kuwa mbali na wanawake kwa muda kidogo ili akili ikae sawa.

Kitu kinachonikera kwasasa ni sms zake za kilaghai akidai eti bado ananipenda.

AMAKWELI MAPENZ HAYANA MWENYEWE!
 
pole sana yatakwishaaaaa dedication jipe moyooo
 
Inauma sana mkuu haswa nikifikiria nilivyompenda,kumjali na kumthamini!nimemvumilia takriban miezi mi3 bila kusex nae kwasababu ya maradhi yaliokua yakimsumbua hatima kapona badala yakujakunionyesha mm kuwa kapona anaendakumuonyesha mwingine duh!
ndo unalia sasa
 
ulimbip akapiga hapo ni shida. Btw kaa utulie utapata wa halali yako. It wasn't your destiny to last longer with that gal
 
Inauma sana mkuu haswa nikifikiria nilivyompenda,kumjali na kumthamini!nimemvumilia takriban miezi mi3 bila kusex nae kwasababu ya maradhi yaliokua yakimsumbua hatima kapona badala yakujakunionyesha mm kuwa kapona anaendakumuonyesha mwingine duh!

kwani jamaa kaondoka na papuchi ya demu wako!!? we rudi tu kuwa mpole endelea kupiga mambo hakijaaribika kitu
 
Kamwe ziwez kurudi kwake acha tu niugulie maumivu thn naamini yatapona
kwani jamaa kaondoka na papuchi ya demu wako!!? we rudi tu kuwa mpole endelea kupiga mambo hakijaaribika kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom