Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 796
Umesoma chuo gani ndugu
Sorry mkuu ni nje ya topic husikaUmesoma chuo gani ndugu
hapo ushaonekana unampotezea mda
HAPA NDIPO WANAUME TUNAPOBUGI DAILY.kwa kweli sikuwahi msaliti kipindi chote cha mahusiano yetu coz i saw no girl like her
Ndg msomi na muhitimu wa chuo kikuu[emoji2957] Hiyo stylistics yako haiapply Kila mahali. Unafikiri Kila mtu angetumia language stylistic codes anazozijua angetosha hapa?
Yeah mkitoboa 3 years ujue kuna mmoja amejifanya fala kweli kweli, otherwise wale wa kuvimbiana inabaki story tu.mapenzi ya kweli yapo tena 90% na naweza sema moja ya kipimo cha mapenzi ya kweli ni mioyo kusemezana katika shida,furaha,taabu na magonjwa
nasema hivi sababu nilishakuwa na mpenzi tuliyependana sana na mioyo yetu ilikuwa ikisemezana sana yani unakuta mmoja wetu kapata shida au ugonjwa si lazima akupe taarifa ya kinywa au ujumbe wa simu ila unakuta tu moyo unakupa taarifa
nakumbuka kuna kipindi nilikuwa natoka safari lakini sikutaka mwambia mpenzi wangu kuwa narudi toka safari nilitaka nimsuprise kwa maana alikuwa akinisumbua lini ninarudi?
ile kurudi nikafika home na yeye si kwamba tulikuwa tunaishi pamoja hapana....basi usiku kanitumia text ananiambia wewe umerudi nikamwambia hapana akasema umerudi bwana mimi najua ikabidi nimuulize wewe umejuaje maana ikabidi nikubali...akaniambia yani siku ya leo nimekuta tu moyo unaamani na furaha sana...nikasema kweli mioyo inaongea tena mambo ambayo macho hayawezi ona
sasa yeye alipata safari na kuniacha mimi nyuma.....aise nikashangaa kuona moyo wangu unaniuma baadhi ya siku alafu kama unanipa taarifa kuwa mpenzi wangu ananisaliti na mara zote nauamini moyo kwa 98% kuliko kitu au mtu yeyote....cha ajabu kuna siku yule mwanamke akaanza kuropoka yote aliyoyafanya mabaya na kunisaliti..aise niliumia sana but sikuweza kumuacha na nikajisemea kuwa my heart is alwayas right it never cheat me...lakini kwa baadae ikanilazimu nimuache maana alikuwa anajutia usaliti wake alioufanya na hakuweza amini msamaha wangu...kwa kweli sikuwahi msaliti kipindi chote cha mahusiano yetu coz i saw no girl like her
ukitaka kujua shuruba ya mapenzi ni kuanzia miaka 3,4 na 5 ni wachache wavukao miaka hii na bado wanapendana wengi unakuta wamezoeana tu
sorry keshokutwa mkuu kwa kuingilia uzi wako
Ulikua unaogopa wanawake,Ila ‘rafiki’ Yako akawa anawaambia wakuache wewe ni mume wake,,,,km ulikua less confident na women hao uliokuwa unawagombanisha walitoka wapi ?
Hahaaa dogo tulia hawa viumbe si kama unavyofikiri, mwanamke anaweza kukupenda miaaks 20 ila siku akikuchukia ni dakika moja , inainekana wewe ndiyo tatizo haya yote kwa sasa anavumilia akishailewa ukimletea ujinga huo utaushi kwa stress mpaka uchanganyikiwe.Poleni na majukumu wakuu! niende 1kwa1 kwenye mada husika toka nikiwa mtoto nimekua mtu wa kuwaogopa Sana watoto wa kike hadi mwaka huu nimemaliza degree yangu sina ujasiri na watoto wa kike nikitaka nifloo nae na maongezi ni hadi anisogelee hapo nitaongea japo kwa less confidence.
Lakini hata hivyo, hali hii imenisaidia kumpata girlfriend ambaye naamini ana mapenzi ya kweli na mimi kwanini?
SABABU: Toka nimekua nae kama rafiki yangu wa kike (tumesoma darasa 1 chuo ki1),
nimeshuhudia mengi sana. 1 kati ya hayo ni hili, nimejaribu kua na mahusiano na mabinti kadhaa wakati yeye yupo (japo sio kwa kumaananisha) aise amewapindua wote yani kila binti alikua anamface 1kwa1 ili amwambie amwache mme wangu miaka mi3 yote hadi tumemaliza chuo na ni , zaidi ya mabinti 4. angekua hana mapenzi na mimi angenitua huu ndo ukweli.
Jingine licha ya kumfanyia yote hayo wiki ilopita amekataa barua ya posa kwao kwa ajili yangu image nina kabinti kengine then yeye anajua halafu kwao Kuna jamaa kajitokeza amuoe lakini amechomoa hni kali kwa ninavyowajua hawa viumbe sidhani kama angekubali kuendelea tena na mimi.
Nawakumbusha tena mapenzi ya kweli yapo haijalishi wote mmefanana level za elimu, uchumi au amekuzidi au umemzidi. wanawake wanapenda mbaya mbovu.
Nawasilisha karibuni kwa upembuzi wa kina zaidi. Asanteni
HahahaPoleni na majukumu wakuu! niende 1kwa1 kwenye mada husika toka nikiwa mtoto nimekua mtu wa kuwaogopa Sana watoto wa kike hadi mwaka huu nimemaliza degree yangu sina ujasiri na watoto wa kike nikitaka nifloo nae na maongezi ni hadi anisogelee hapo nitaongea japo kwa less confidence.
Lakini hata hivyo, hali hii imenisaidia kumpata girlfriend ambaye naamini ana mapenzi ya kweli na mimi kwanini?
SABABU: Toka nimekua nae kama rafiki yangu wa kike (tumesoma darasa 1 chuo ki1),
nimeshuhudia mengi sana. 1 kati ya hayo ni hili, nimejaribu kua na mahusiano na mabinti kadhaa wakati yeye yupo (japo sio kwa kumaananisha) aise amewapindua wote yani kila binti alikua anamface 1kwa1 ili amwambie amwache mme wangu miaka mi3 yote hadi tumemaliza chuo na ni , zaidi ya mabinti 4. angekua hana mapenzi na mimi angenitua huu ndo ukweli.
Jingine licha ya kumfanyia yote hayo wiki ilopita amekataa barua ya posa kwao kwa ajili yangu image nina kabinti kengine then yeye anajua halafu kwao Kuna jamaa kajitokeza amuoe lakini amechomoa hni kali kwa ninavyowajua hawa viumbe sidhani kama angekubali kuendelea tena na mimi.
Nawakumbusha tena mapenzi ya kweli yapo haijalishi wote mmefanana level za elimu, uchumi au amekuzidi au umemzidi. wanawake wanapenda mbaya mbovu.
Nawasilisha karibuni kwa upembuzi wa kina zaidi. Asanteni
NaamHahaaa dogo tulia hawa viumbe si kama unavyofikiri, mwanamke anaweza kukupenda miaaks 20 ila siku akikuchukia ni dakika moja , inainekana wewe ndiyo tatizo haya yote kwa sasa anavumilia akishailewa ukimletea ujinga huo utaushi kwa stress mpaka uchanganyikiwe.